Bukoba: Viongozi wa CHADEMA Mjini wakamatwa na Jeshi la Polisi

Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Tena hawa polisi wa chini maskino hata hawafaidi chochote. Wa huko juu wanalipana vyeo na mapesa kibao kwa kazi ya kudhibiti upinzani. Wenyewe wanabaki na vilio vya maisha magumu
 
Labda kama hao ndugu hawanufaiki na hicho wanachokipata kwenye hiyo kazi yao, mimi hata kama ndugu yangu awe CHADEMA siwezi kumchukia na tukiwa pamoja tutabishana na kuelekezana kuhusu siasa, baada ya hapo kila mtu anapita kushoto.
 
Wanadhani mnajiandaa kwenda kupanda mabasi ili kuwahi kesi ya Mbowe kesho Alhamisi....

Kwa hiyo wanachofanya ni kuwavizia wakiona mmekusanyana tu kwenye ofisi zenu, wanawatia ndani mpaka calculation ya muda wa kesi ugome ndipo wanawaachia...

Mnachotakiwa kufanya ni kuwa smarter than them. Msipende kuji - expose pasipo na ulazima. Tumieni mbinu za kijeshi kupanga na kufanya/kutekeleza mambo/mipango yenu...!!
 
Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.
nawaonya wafuasi wa chadema popote pale mlipo ni bora uchezee kitambi chako au mzuzu wako wa ndevu lkn kamwe msijaribu kuchezea Amani ya Taifa letu, mtachakazwa bila hurumu.
Kwahio wachama wa chadema sio watanzania? mifala mingine!!!
 
Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.
nawaonya wafuasi wa chadema popote pale mlipo ni bora uchezee kitambi chako au mzuzu wako wa ndevu lkn kamwe msijaribu kuchezea Amani ya Taifa letu, mtachakazwa bila hurumu.
We kunguni tu
 
Inaitwa mwana kulitafuta ...
 
Na vikao vya ndani vimeharamishwa? Kwenye wimbo wa taifa, maneno ya Mungu ibariki Tanzania na viongozi wake, yafutwe.
Viongozi wa taifa hili wamelaanika kwa kutotenda haki
 
Labda kama hao ndugu hawanufaiki na hicho wanachokipata kwenye hiyo kazi yao, mimi hata kama ndugu yangu awe CHADEMA siwezi kumchukia na tukiwa pamoja tutabishana na kuelekezana kuhusu siasa, baada ya hapo kila mtu anapita kushoto.
Aisee una moyo , binafsi siku ya tatu ndugu tumbo MOJA nimeblock, kisa ndugu ukaumize watanzania wenzangu, binfsi Sina uvumilivu wa vile ,yupo analalamika hanipati kwenye sim , na sikawaida yetu kaa siku hatuwasiliani, sio mda mda nitamwambia apige Iyo KAZI chini ,vinginevyo ndo iwe familia yake, au abaki na mkewe na KAZI yale, maana KAZI za kufanya zipo nyingi na kuishi apendavyo nje ya KAZI yake ya Sasa, ambayo unazeeka na laana kibao
Labda kama hao ndugu hawanufaiki na hicho wanachokipata kwenye hiyo kazi yao, mimi hata kama ndugu yangu awe CHADEMA siwezi kumchukia na tukiwa pamoja tutabishana na kuelekezana kuhusu siasa, baada ya hapo kila mtu anapita kushoto.
 
Wapo wanakamatana baada ya kujenga stendi ya mkoa
 
Hahaha aiseeh, wewe patwa na matatizo ya muda mrefu yanayohitaji uangalizi wa karibu ndo utajua nini maana ya ndugu na jamaa.Yaani aache kazi Ili iweje sasa, hao wanasiasa ndo watakaomchangia expenses zake za kila siku?

Watu mnautani,yani unipe option ya kuacha kazi Ili niendelee kuwasiliana na wewe,eti ndugu?😂😂

Kama mimi ndo huyo ndugu yako, siwezi kaucha kazi yangu, achilia mbali kuniblock hata ukitishia kujiua bado siwezi acha kazi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…