Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mvua kubwa iliyonyesha takribani saa tatu katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, imesababisha zaidi ya nyumba 300 katika mitaa ya Omukigusha, Byekela na Nyamkazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara zikifungwa ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza.
Soma Pia: Morogoro: Zaidi ya nyumba 432 zabomoka na kuezuliwa paa baada ya Mvua na upepo mkali Ulanga
Soma Pia: Morogoro: Zaidi ya nyumba 432 zabomoka na kuezuliwa paa baada ya Mvua na upepo mkali Ulanga