guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Wazo zuri sanaBuku 10 uza bangi.
Puli moja elfu 3, nunua puli tatu elfu 9 elfu moja iliyobaki nunua rizla.
Puli moja linatoa bangi hamsini, bangi moja uza mia 5, 500×50=25000
Kwa mapuli matatu 25000×3=75000
Ukitoa buku ten yako ya mtaji unabakiwa na faida ya elfu 60
Poa boss hivi pale saphire jet rump bei gani kwa mweziKitunda sijawahi kuishi so sijui. Sehemu ya mbali kufuata gym ilikua Gongo la Mboto, gharama ilikua 50K kwa mwezi.
Najua Kawe, Makumbusho, Mwananyamala, Kigamboni, Ujiji, Tandale
Sijawahi kuulizia chiefPoa boss hivi pale saphire jet rump bei gani kwa mwezi
Mkuu kama kuna ya buku kumi per month napitiwa na mengi,yaani nalipaga 70 permonthSijawahi kuulizia chief
Mazingira na vifaa inachangia pia. Gym ya buku kumi usitarajie kukuta ina thread mill, leg extension wala leg press machine. Gym za bei hii hua zinahitaji uwe unajua kuimproviseMkuu kama kuna ya buku kumi per month napitiwa na mengi,yaani nalipaga 70 permonth
Kweli boss vifaa vitakuwa adimu sanaMazingira na vifaa inachangia pia. Gym ya buku kumi usitarajie kukuta ina thread mill, leg extension wala leg press machine. Gym za bei hii hua zinahitaji uwe unajua kuimprovise
Umeangalia risk.Buku 10 uza bangi.
Puli moja elfu 3, nunua puli tatu elfu 9 elfu moja iliyobaki nunua rizla.
Puli moja linatoa bangi hamsini, bangi moja uza mia 5, 500×50=25000
Kwa mapuli matatu 25000×3=75000
Ukitoa buku ten yako ya mtaji unabakiwa na faida ya elfu 60
Ukidakwa yote anakula afande rafa!Buku 10 uza bangi.
Puli moja elfu 3, nunua puli tatu elfu 9 elfu moja iliyobaki nunua rizla.
Puli moja linatoa bangi hamsini, bangi moja uza mia 5, 500×50=25000
Kwa mapuli matatu 25000×3=75000
Ukitoa buku ten yako ya mtaji unabakiwa na faida ya elfu 60
Zipo mkuu,unajazia upande mmoja halafu unakuwa unatembea kama ngaduAcha utani gym ipi mwezi mazima buku kumi
Bando unalo tayari,ushaanza kudalalia?Natia bando la Week 3000/= naanza udalali WhatsApp, JF, Kupatana, Mtaani...hapo ni kutafuta kinachouzwa JF natangaza WhatsApp and Viseversa. 7000/= inayobaki nauri endapo Deal litahitaji na mimi niwepo sehemu ya tukio.
Simu, PC, Vibanda vya biashara, Laini za uwakala nk...zote nadalalia mpaka nipate 60,000 Tzs naanza biashara niliyoilenga.
Bando unalo tayari,ushaanza kudalalia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngadu unamjua mzee?Zipo mkuu,unazajia upande mmoja halafu unakuwa unatembea kama ngadu
Bana wee..sana tu,wengine tumekulia bonde la msimbazi kutwa tunavua ndumbwi enzi hizo tunajua fish 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngadu unamjua mzee?
Duh ha ha haKwani ulinipa challenge na hili bando vipi wewe ??
Dadeki kujazia upande mmoja [emoji3] [emoji3] [emoji3] heri niende Sapphire buku tano per dayZipo mkuu,unajazia upande mmoja halafu unakuwa unatembea kama ngadu