Buku 10 challenge: Unaweza kufanya biashara gani kwa pesa hiyo na ukaishi?

W
Buku 10 uza bangi.

Puli moja elfu 3, nunua puli tatu elfu 9 elfu moja iliyobaki nunua rizla.

Puli moja linatoa bangi hamsini, bangi moja uza mia 5, 500×50=25000

Kwa mapuli matatu 25000×3=75000

Ukitoa buku ten yako ya mtaji unabakiwa na faida ya elfu 60
Wazo zuri sana
 
Kitunda sijawahi kuishi so sijui. Sehemu ya mbali kufuata gym ilikua Gongo la Mboto, gharama ilikua 50K kwa mwezi.

Najua Kawe, Makumbusho, Mwananyamala, Kigamboni, Ujiji, Tandale
Poa boss hivi pale saphire jet rump bei gani kwa mwezi
 
Mkuu kama kuna ya buku kumi per month napitiwa na mengi,yaani nalipaga 70 permonth
Mazingira na vifaa inachangia pia. Gym ya buku kumi usitarajie kukuta ina thread mill, leg extension wala leg press machine. Gym za bei hii hua zinahitaji uwe unajua kuimprovise
 
Kweli boss vifaa vitakuwa adimu sana
 
Natia bando la Week 3000/= naanza udalali WhatsApp, JF, Kupatana, Mtaani...hapo ni kutafuta kinachouzwa JF natangaza WhatsApp and Viseversa. 7000/= inayobaki nauri endapo Deal litahitaji na mimi niwepo sehemu ya tukio.

Simu, PC, Vibanda vya biashara, Laini za uwakala nk...zote nadalalia mpaka nipate 60,000 Tzs naanza biashara niliyoilenga.
 
Buku 10 uza bangi.

Puli moja elfu 3, nunua puli tatu elfu 9 elfu moja iliyobaki nunua rizla.

Puli moja linatoa bangi hamsini, bangi moja uza mia 5, 500×50=25000

Kwa mapuli matatu 25000×3=75000

Ukitoa buku ten yako ya mtaji unabakiwa na faida ya elfu 60
Umeangalia risk.
 
Ukidakwa yote anakula afande rafa!
 
Natia bando la Week 3000/= naanza udalali WhatsApp, JF, Kupatana, Mtaani...hapo ni kutafuta kinachouzwa JF natangaza WhatsApp and Viseversa. 7000/= inayobaki nauri endapo Deal litahitaji na mimi niwepo sehemu ya tukio.

Simu, PC, Vibanda vya biashara, Laini za uwakala nk...zote nadalalia mpaka nipate 60,000 Tzs naanza biashara niliyoilenga.
Bando unalo tayari,ushaanza kudalalia?
 
Back
Top Bottom