Pre GE2025 Bulaya asema CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo kwa ajili ya CHADEMA tu

Pre GE2025 Bulaya asema CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo kwa ajili ya CHADEMA tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
"Kwahiyo CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo tu kwa CHADEMA kushinda, reform za uchaguzi zitamuingiza yeyote yule aliyechaguliwa kwa kura za wananchi". Esther Bulaya, Mbunge wa viti malum
View attachment 3247556
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Naunga mkono hoja, ila pia
Mimi mwenzenu jamani huyu mdada,sio tuu namkubali kichizi,bali kiukweli, 。。。,, naomba nisimalizie,, ila nimeanza kumzimikia long time toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
 
Shida matawi ya ccm (vyama vya upinzani baadhi) vinadhani NO REFORMS NO ELECTION ni kwa ajili ya CHADEMA TU. Wanasahau kwamba Reforms hizo za uchaguzi zikifanyiwa kazi hata vyama vyao vidogo vinaweza kupata wawakilishi wengi TU bungeni na kwenye udiwani.
 
Back
Top Bottom