Pre GE2025 Bulaya: Sikughushi nyaraka za kuingia bungeni na nilifuata taratibu zote ndani ya chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Mbona anaongea kihuni na kwa kebehi sana!
 
Yuko sahihi

Mbowe: Niliwaita Halima na Bulaya Hotelini Nairobi nikawaomba wajiuzulu Ubunge wakakataa

" Nikawaomba wajiuzulu Ubunge"🐼
what is the logical conclusion from that statement?...

HINT: If A=B and
B=C
What is the relationship between A and C
 
Kwa sababu " aliwaomba wajiuzulu" maana yake walikuwa wabunge halali wa Chadema
That is not a valid logical conclusion that can be drawn from that statement! Mtu anaweza akawa katika jambo ovu, kwa kutumia diplomatic langua ge "UKAMUOMBA" ukamuomba aache jambo hilo kabla ya kumlazimisha akikaidi!
Do you have the means to use force to enforce the order in case of failure to comply? Mbowe and Chadema for that matter, have no power to enforce kujiuzulu kwa Bulaya!
 
Unadhani kwanini aliwaita Hotelini? 🐼
 
Lissu Hana msimamo, kesho anawachukua kuwa wanachama. Kelele zote zile bure
Mimi naamini kuna kitu ambacho hatukijui katika suala hili. Mpaka sasa sijaona sababu ya maana ya kuwanyima uanachama watu kama Esther Bulaya na Halima Mdee. Kuna ale ambao wameonyesha wazi kuwa wamehamia upande wa pili. Hiyo pia ni haki yao.

Amandla...
 
Siasa za bongo hizo, maslahi ya mtu first siaasa baadae. Lissu alijifanya ana msimamo kuhusu hili, kumbe geresha toto tu. Hata no reform no election ndio hayo hayo, anatafuta gia tu
 
Hawa wahuni waende CCM tu, kwanza wamekishtaki chama hivyo automatically hawana vigezo tena vya kuwa wanachama maana hawaja exhaust options zote za haki ndani ya chama.

Pia hata kama wangeenda kihalali chama ndio kinawadhamini, kikisema ondokeni mnaondoka. Sasa chama mpaka kimewafukuza bado mmeng'ang'ania ubunge!!!

Na wakifanya kosa kuwarudisha ndio wajue itakua precedence. Usishangae hata ukakuta Mdee kajitangazia uenyekiti na msajili akamtambua siku hiyo hiyo.
 
Wangojee kama ya Lipumba na seif. Mdee akifika mwenyekiti na Bulaya katibu mkuu' barua kwa msajili.
 
Back
Top Bottom