Pre GE2025 Bulaya: Sikughushi nyaraka za kuingia bungeni na nilifuata taratibu zote ndani ya chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani
View attachment 3247495
Matatizo yalianzia hapa . Na ni mwisho wa COVID-19 sasa!
 
Attachments

  • IMG-20250224-WA0011.jpg
    IMG-20250224-WA0011.jpg
    25.8 KB · Views: 1
Yuko sahihi

Mbowe: Niliwaita Halima na Bulaya Hotelini Nairobi nikawaomba wajiuzulu Ubunge wakakataa

" Nikawaomba wajiuzulu Ubunge"🐼
WALIKUWA WANA FANYATREESOME ...MBOWE NI MUHUNI SANA😁😁😁😁
 
Siasa za bongo hizo, maslahi ya mtu first siaasa baadae. Lissu alijifanya ana msimamo kuhusu hili, kumbe geresha toto tu. Hata no reform no election ndio hayo hayo, anatafuta gia tu
Bila shaka Malaria 2 imekupanda kichwani
 
Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani
View attachment 3247495
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi mwenzenu jamani huyu mdada,sio tuu namkubali kichizi,bali kiukweli, 。。。,, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
 
watapata kura ya watu kama nyie , msiojielewa. sie huku mtaani hatuwataki, bora ugombee wewe tutakupa kura sio yale ma mama. najua huna fedha za kuhonga ili wajumbe wakupitishe , pambana uingie kama mgombea binafsi
 
YAANI SIKU WANARUDI KUNDINI CHADEMA KUNA MAJITU HUMU YATAKUFA KIBUDU SIASA MNAIJUWA NYIE
 
Mimi mwenzenu jamani huyu mdada,sio tuu namkubali kichizi,bali kiukweli, 。。。,, naomba nisimalizie!,, ila nimeanza kumzimikia long time toka yuko CCM Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P
Nasikia Matiko ameisha amua kuwa upande wa pili. Halima na Bulaya ndio ngangari kuwa wao ni Chadema na watakufa Chadema.

Amandla...
 
watapata kura ya watu kama nyie , msiojielewa. sie huku mtaani hatuwataki, bora ugombee wewe tutakupa kura sio yale ma mama. najua huna fedha za kuhonga ili wajumbe wakupitishe , pambana uingie kama mgombea binafsi
Shida ni kuwa mnadhani wanachotaka ni cheo. Hawa wanaweza kuchangia bila hata ya kuwa na cheo. Wanachotaka ni kuwa wanachama, hayo mengine sio muhimu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom