the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Malaya wa kisiasa , MUOGOPENI MUNGU!Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani
View attachment 3247495
Yuko sahihiMalaya wa kisiasa , MUOGOPENI MUNGU!
what is the logical conclusion from that statement?...Yuko sahihi
Mbowe: Niliwaita Halima na Bulaya Hotelini Nairobi nikawaomba wajiuzulu Ubunge wakakataa
" Nikawaomba wajiuzulu Ubunge"🐼
Kwa sababu " aliwaomba wajiuzulu" maana yake walikuwa wabunge halali wa Chademawhat is the logical conclusion from that statement?...
HINT: If A=B and
B=C
What is the relationship between A and C
Matusi hayajengi. Amesema suala lao linajadiliwa basi tusubiri matokeo.Malaya wa kisiasa , MUOGOPENI MUNGU!
Siku zote ndivyo anavyoongea. Hajaanza leo.Mbona anaongea kihuni na kwa kebehi sana!
si anamueleza kiongozi kibaka wa siasa 🐒Mbona anaongea kihuni na kwa kebehi sana!
Anesema ofisi ya katibu mkuu ilihusikaMalaya wa kisiasa , MUOGOPENI MUNGU!
That is not a valid logical conclusion that can be drawn from that statement! Mtu anaweza akawa katika jambo ovu, kwa kutumia diplomatic langua ge "UKAMUOMBA" ukamuomba aache jambo hilo kabla ya kumlazimisha akikaidi!Kwa sababu " aliwaomba wajiuzulu" maana yake walikuwa wabunge halali wa Chadema
Lissu Hana msimamo, kesho anawachukua kuwa wanachama. Kelele zote zile bureMatusi hayajengi. Amesema suala lao linajadiliwa basi tusubiri matokeo.
Amandla...
Kwa bahati nzuri ni yule yule aliemsaliti mbowe dakika za mwishoAnesema ofisi ya katibu mkuu ilihusika
msikilize Nyerere:Matusi hayajengi. Amesema suala lao linajadiliwa basi tusubiri matokeo.
Amandla...
Unadhani kwanini aliwaita Hotelini? 🐼That is not a valid logical conclusion that can be drawn from that statement! Mtu anaweza akawa katika jambo ovu, kwa kutumia diplomatic langua ge "UKAMUOMBA" ukamuomba aache jambo hilo kabla ya kumlazimisha akikaidi!
Do you have the means to use force to enforce the order in case of failure to comply? Mbowe and Chadema for that matter, have no power to enforce kujiuzulu kwa Bulaya!
Mimi naamini kuna kitu ambacho hatukijui katika suala hili. Mpaka sasa sijaona sababu ya maana ya kuwanyima uanachama watu kama Esther Bulaya na Halima Mdee. Kuna ale ambao wameonyesha wazi kuwa wamehamia upande wa pili. Hiyo pia ni haki yao.Lissu Hana msimamo, kesho anawachukua kuwa wanachama. Kelele zote zile bure
Siasa za bongo hizo, maslahi ya mtu first siaasa baadae. Lissu alijifanya ana msimamo kuhusu hili, kumbe geresha toto tu. Hata no reform no election ndio hayo hayo, anatafuta gia tuMimi naamini kuna kitu ambacho hatukijui katika suala hili. Mpaka sasa sijaona sababu ya maana ya kuwanyima uanachama watu kama Esther Bulaya na Halima Mdee. Kuna ale ambao wameonyesha wazi kuwa wamehamia upande wa pili. Hiyo pia ni haki yao.
Amandla...
Wangojee kama ya Lipumba na seif. Mdee akifika mwenyekiti na Bulaya katibu mkuu' barua kwa msajili.Hawa wahuni waende CCM tu, kwanza wamekishtaki chama hivyo automatically hawana vigezo tena vya kuwa wanachama maana hawaja exhaust options zote za haki ndani ya chama.
Pia hata kama wangeenda kihalali chama ndio kinawadhamini, kikisema ondokeni mnaondoka. Sasa chama mpaka kimewafukuza bado mmeng'ang'ania ubunge!!!
Na wakifanya kosa kuwarudisha ndio wajue itakua precedence. Usishangae hata ukakuta Mdee kajitangazia uenyekiti na msajili akamtambua siku hiyo hiyo.
Hata yeye alikosea. Mpaka sasa hivi hamna ushahidi kuwa wakina Esther waliingia Bungeni kwa sababu ya pesa au zawadi fulani. Tusubiri watuambie nini kiliwasukuma kufanya walichofanya.