Bulb zako za LED zimeungua? Usitupe, suluhisho limepatikana!

umeandika kirahisi sana,biashara kwa maandishi kwenye karatasini rahisi sana..kwa ushauri wako huu si ajabu ukamponza kwenda jela au akapoteza pesa nyingi kujinasua kwenye msala kwa kutokuwa na leseni ya hiyo biashara au kulipa kodi TRA..kwanza kununua taa mbovu na kuzitengeneza ni vizuri..maboksi ya hizo taa atayapata wapi baada ya kuzitengeneza maana alienda kuuza kwa wenye maduka lazima hizo taa ziwe kwenye kibox na kwa vile alikusanya taa nyingi za LED bila shaka zitakuwa za kampuni tofauti tofauti na hiyo ni gharama nyingine ya maboksi..na mwisho taa used iliyotumika zaidi ya miezi 6 tena iliyopauka kwa vumbi,mvua na jua kimuonekano haiwezi kuwa sawa na mpya..je,wenye maduka na wateja wao wataziamini na kuzinunua hizo taa zilizopauka kwa vumbi na jua alafu waache mpya.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…