Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Mnaleta marumbano ya mafumbo kati yenu wawili. Naomba kama ni yenu nendeni private. Hapa leteni mambo ya wazi ya kujadiliwa na watu wote! Mafumbo ya ..., St Peter's, n.k. hayatuhusu! Please!!
 
Nakumbuka yule mama wa watu alishangiria sana baada ya Bulembo kusema wasaliti wauawe, mwisho wa siku yule mama alifariki [emoji44][emoji44][emoji44]
Hawa wazee wengine maneno yao aibu tupu sijui huyo mtoto wake anajiskiaje. Ukiwa na mzee kama Bulembo ujiandae kuwa mchawi tu [emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Bulembo ajiheshimu, Utofauti wa Vyama usimfanye akapagawa na akavuka mipika za heshima kwa Mkwe wake. Atambue Zitto ni sehemu ya Familia yake ( Mkwe)
 
Bulembo na kama yeye wakapimwe akili. Ma CCM wamekwishiwa. Demokrasia nchini wameuwa kwa kuwa wanafikiri vyombo vya usalama vipo upande wao. Tumeona wengi madikteta uchwara na mwisho wao haukuwa mzuri. Watanzania wamelala lakini siku wakiamka naona chato hapatoshi.
 
@ Mwanakijiji Mzee na Paschal Mayala
 
kinachokwenda kumtoa zitto kwenye ubunge si kwa sabb hana sifa au anagombea nae anasifa, hapana..... kitakachomtoa ni sera 2020-2025..

kwa wanaojua kitabu cha sasa kila ukurasa unamaandishi ya kijani.... rejea hotuba ya presidor juzi...
 
Mzee ana wivu hatari huyu, alitaka apapaswe yeye? Tena Zitto afanye haraka kama kuna binti mwingine hapo amchape na yeye!
 
Mbona povu,jamaa ameshare picha kama wewe ulivyo share,huyo gado ndiye alikuwa anaambiwa.
 
Waliokuwa wanampinga Gaddo kuchora hiyo katuni hawana hoja na ni wapumbavu! Mtekaji, muuaji, mnyanyasaji, mtesi, mpiga watu risasi mchana kweupe, mgandamiza haki ni vyema na haki afananishwe na wauaji wengine. Right?
Aliulizwa lisu na mtangazaji,ni kwa namna ipi jamaa ni muuaji!!!??,lissu nguli wa sheria na miongoni mwa wahanga alibabaika kujibu.
 
Mamilioni ya watanzania wapi wananyimwa haki zipi!!!!
 
Kwenye kila comment yangu hapo juu nimeorodhesha haki za msingi ambazo watanzania wananyang'anywa na bado unaniuliza ni haki zipi? Unajua kusoma?Halafu kwenye comment zangu hapo juu nimekuuliza maswali ya msingi sana, kwa nini huyajibu?
Maswali ya msingi sana kwako.si lazima yawe kwa kila mtu.

Mimi nimeuliza swali watanzania mamilioni wanaoporwa au kudhurumiwa haki zao za msingi ni wepi na hizo haki ni zipi???unataka uhuru upi wa kujieleza zaidi???

Unaweza ukaandika kinachosomeka,sababu kipo katika alphabeti zinazofahamika,ila kueleweka ndio ikawa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…