Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Pascal uoga wako sio wa kubeza hata kidogo. Si unamkumbuka Mudhihir wa Mchinga jaribio lake pale Bungeni LA kumuuazimia Zitto Kabwe kilichofuata ni nini
Mkuu Mkeha, hili za Bulembo, lets just sit and watch!.
Hawa wabunge wa darasa la Saba kwa kujitutumua, usipime!.
P
 
Hivi bulembo ndo nani?
nani anamfahamu?
amefanya nini cha kujivunia?
nafikiri anataka sifa za kitoto kupitia kwa zitto.
 
Huyo mzee mpuuzi sana ana chuki na Zito sababu kazaa na mtoto wake
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.
Upuuzi kabisa. Halafu jamaa si kasema mwenyewe eti amestaafu? Anyway, nimpe jibu tu kwamba Zitto mmoja ni sawa na kina Bulembo mia mbili
 
Hala hala...Bulembo!, kasome kisa cha Mfalme Midas, kinachoitwa "The Midas Touch", tunaojua chanzo cha chuki ya Bulembo kwa Zitto hatushangai, wasiwasi wangu ni badala ya Zitto kulia, asije kujikuta analia yeye!.

japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tuu makofi amechomoka!.
Watu wengine sio wa kuchezea!.
P
Chanzo cha hiyo chuki ni nini mkuu? tupe hints
 
Zitto ni presidential candidate wa ACT wazalendo. Lengo lake ni kukuza ruzuku ili ACT wapate mrija wa ruzuku. Maalim Seif anagombea Zanzibar kivyovyote watapata ruzuku.
 
Zito alioa mke wa pili( alimuoa halima)?
C ana mkewe yule mrembo aliyefunga nae harusi??
Halima anampenda sana Baba yake pia ana mpenda sana Mume wake

Pengine kitendo cha Halima kuolewa na Zitto kimeharakisha uamuzi wa Mzee Bulembo kutangaza kung'atuka

Mjukuu akikua anaambiwa Babu Yako alipambana Baba yako akose Kazi


Ila hata Mimi Kapuku bin Kabwela nmejulishwa kuwa imeamriwa bora Ccm ikose majimbo yote ya Mkoa Kigoma lakin Msaliti Zitto asirudi Bungeni
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Hivi ni huyu parrot Bulembo?
Ana mtaji wa mafao tu?
Ngoja tuingie timu yake ya kampeni nasi tujinome?
Mitaji mingine ya akili au wananchi hana kabisa
 
Back
Top Bottom