Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Nani yule mzee wa msimbazi? Mzee wa sumve?
Hala hala...Bulembo!, kasome kisa cha Mfalme Midas, kinachoitwa "The Midas Touch", tunaojua chanzo cha chuki ya Bulembo kwa Zitto hatushangai, wasiwasi wangu ni badala ya Zitto kulia, asije kujikuta analia yeye!.

japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tuu makofi amechomoka!.
Watu wengine sio wa kuchezea!.
P
 
Sioni uwiano wa kiuwezo wa kujenga hoja na kukubalika kati ya Bulembo na Zzk. Bila huruma ya rais Magufuli Bulembo bunge angelisikia kupitia tbc taifa
Atakuwa kwenye kitengo Cha kamati ya ufundi
 
Au yule wa mlima wa moto?
Hala hala...Bulembo!, kasome kisa cha Mfalme Midas, kinachoitwa "The Midas Touch", tunaojua chanzo cha chuki ya Bulembo kwa Zitto hatushangai, wasiwasi wangu ni badala ya Zitto kulia, asije kujikuta analia yeye!.

japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tuu makofi amechomoka!.
Watu wengine sio wa kuchezea!.
P
 
0%
Kitakachomng'oa Zitto kinajulikana![emoji2211][emoji2211][emoji2211] View attachment 1482147
JamiiForums1858942893.jpg

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona sheria ile inayo ruhusu elimu ya mbunge ni ile inayo muwezesha ajue kuandika na kusoma tu ni kikwazo sana.

Na hili ccm walilipitisha makusudi ili waendelee kuwapata wabunge wasiyo na uwezo wa kufikiri na kutenda
Ametoa sababu za msingi ni kwanini hataki Zitto arudi tena Bungeni? Au hataki tu arudi? Sometimes ukisikiliza hoja za baadhi ya wanaCCM ni vichekesho; hawana hoja na hata ukimuuliza kwanini hana cha kujibu zaidi ya "... anamkwamisha Mh. Rais ...". Kwao, mwongo, mnafiki, as long as anasifu na kuabudu huyo ndiye mbunge!
 
Bulembo ni chizi tu, kwn zitto kumzalisha binti yake ndo igeuke kuwa vita?? 2010 kwenye udiwani kata ya kijitonyama alishindwa na mgombea wa chadema, akaenda mahakamani lkn bado akapigwa vile vile, je atamuweza zitto ?? Aache kutapa tapa huyo mzee...kigoma ina wenyewe
ZITO NI NOUMA KAMZALISHA BINTI YAKE.
THEN HUKO ANAKOKWENDA HATAANGUSHWA VIBAYA MNO....ANAPIGA NDANI NA NJE
 
...nitakuwa nimekuonea?
GADO mnamuharibu ninyi. Ukweli ni kuwa mnachuma dhambi kwa mnachokifanya kwa makusudi. Nakupa pole kwa kutokujua dhambi unayoifanya. Back to your senses, Mkuu. It is not too late.
 
Mimi naona sheria ile inayo ruhusu elimu ya mbunge ni ile inayo muwezesha ajue kuandika na kusoma tu ni kikwazo sana.

Na hili ccm walilipitisha makusudi ili waendelee kuwapata wabunge wasiyo na uwezo wa kufikiri na kutenda
... kuna kitu zaidi ya elimu Mkuu; wengine ni maprofesa na ma-phd lakini ukisikiliza hoja zao zinatia aibu! Nadhani neno maadili linakosekana kwenye siasa zetu; imefika mahali mtu kuongea uongo wa wazi hadharani anashangiliwa badala ya kukemewa!

"Nitasema kweli daima, fitna kwangu mwiko" imebaki tu kama maandishi yasiyo na maana kwenye documents; ni as if hiyo "ahadi" inawaelekeza kutenda kinyume!
 
Back
Top Bottom