Pale baba mkwe anaponzisha bifu na mkwewe
Asije akarudi bila mkono...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asije akarudi bila mkono...!
Baba mkwe wa Zitto Kabwe huyo kaamua hasa.Kazi imenza...
Bado huyu naye kuna siku atachenjiwa na bamkwe wakePale baba mkwe anaponzisha bifu na mkwewe
Akiweza hata jichoZito anatakiwa azidishe kumkaza sana binti bulembo...tena amtotoleshe kila mwaka!.
Eti nini? "Kaahidi kutumia mafao yake kumng'oa Zitto Kabwe "!...Je TAKUKURU mmeisikia kauli hiyo?...Hapa ninapata shida kuelewa kama kitachotumika kumng'oa Zitto ni uzito Hoja za kampeni au fedha za mafao???Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.
Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.
Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua
Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo
Halima tayari kashaolewa na zitto rasmi?Halima anampenda sana Baba yake pia ana mpenda sana Mume wake
Pengine kitendo cha Halima kuolewa na Zitto kimeharakisha uamuzi wa Mzee Bulembo kutangaza kung'atuka
Mjukuu akikua anaambiwa Babu Yako alipambana Baba yako akose Kazi
Ila hata Mimi Kapuku bin Kabwela nmejulishwa kuwa imeamriwa bora Ccm ikose majimbo yote ya Mkoa Kigoma lakin Msaliti Zitto asirudi Bungeni
Hivi ni wanandoa wamezaa tu pamojaHalima tayari kashaolewa na zitto rasmi?
Zitto sio msaliti, Ila ni Mbunge pekee mwenye uwezo wa kujibu hoja kwa ufanisi...Ni wabunge wachache wenye uwezo wa kusoma ripoti ya CAG na kuilewa, Ni wabunge wachache wenye uwezo wa kuchambua bajeti ya serikali na kuilewa...Halima anampenda sana Baba yake pia ana mpenda sana Mume wake
Pengine kitendo cha Halima kuolewa na Zitto kimeharakisha uamuzi wa Mzee Bulembo kutangaza kung'atuka
Mjukuu akikua anaambiwa Babu Yako alipambana Baba yako akose Kazi
Ila hata Mimi Kapuku bin Kabwela nmejulishwa kuwa imeamriwa bora Ccm ikose majimbo yote ya Mkoa Kigoma lakin Msaliti Zitto asirudi Bungeni
mkuu sijakuelewa unamaanisha ni wanandoa au wazazi tu?Hivi ni wanandoa wamezaa tu pamoja
Halima tayari kashaolewa na zitto rasmi?
Nje ya mada, hivi kweli ZITTO kamuoa halima bulembo? Dah yule Dada Mimi namuona mzuri (ukiachana na chama chake),zitto basi anaidi totoz ya Lumumbaa au washaachana?Halima anampenda sana Baba yake pia ana mpenda sana Mume wake
Pengine kitendo cha Halima kuolewa na Zitto kimeharakisha uamuzi wa Mzee Bulembo kutangaza kung'atuka
Mjukuu akikua anaambiwa Babu Yako alipambana Baba yako akose Kazi
Ila hata Mimi Kapuku bin Kabwela nmejulishwa kuwa imeamriwa bora Ccm ikose majimbo yote ya Mkoa Kigoma lakin Msaliti Zitto asirudi Bungeni
Umeongeakwa hisa sana. Umenigusa sana. Huyu naomba aliyemchukua nkurunzinza aje na huku! Umeongea kwa hisia kali zenye baraka za Mungu!Ukishakuwa CCM ni lazima ukose akili, ni kama laana yaani! Mtu ameteka watu, amepoteza watu, amepiga watu risasi mchana kweupe,maiti zimeokotwa kwenye viroba, anatesa watu, anagandamiza uhuru wa kujieleza, kazi kubwa anayofanya ni kung'ang'ania kusifiwa for nothing. Halafu poyoyo unakuja hapa na kudai kuwa akifananishwa na wauaji wengine ni mzaha!Serious?!Nikisema kuwa wewe ni mpumbavu nitakuwa nimekuonea?
Nje ya mada, hivi kweli ZITTO kamuoa halima bulembo? Dah yule Dada Mimi namuona mzuri (ukiachana na chama chake),zitto basi anaidi totoz ya Lumumbaa au washaachana?
"japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tuu makofi amechomoka!."Hala hala...Bulembo!, kasome kisa cha Mfalme Midas, kinachoitwa "The Midas Touch", tunaojua chanzo cha chuki ya Bulembo kwa Zitto hatushangai, wasiwasi wangu ni badala ya Zitto kulia, asije kujikuta analia yeye!.
japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tuu makofi amechomoka!.
Watu wengine sio wa kuchezea!.
P
Hivi Bulembo amewahi kushinda uchaguzi? Achana na huu ubunge wa viti maalumu aliozawadiwaSafari hii uchawi wa zito utadunda mbele ya bulembo
Jamaa akavue migebuka tu
msukuma ata paragraphs mbili za report ya CAG hawezi kusomaZitto sio msaliti, Ila ni Mbunge pekee mwenye uwezo wa kujibu hoja kwa ufanisi...Ni wabunge wachache wenye uwezo wa kusoma ripoti ya CAG na kuilewa, Ni wabunge wachache wenye uwezo wa kuchambua bajeti ya serikali na kuilewa...
Ukiachana na sifa hizo, Zitto ana uwezo wa kuwasilisha hoja nzito kwa lugha rahisi kwa wananchi na akaeleweka vyema.
Hilo ndio linalowapa shida CCM hawataki wananchi wajue ya uvunguni mwa serikali.