Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Hasira za mtoto wake kuzalishwa n ZZK Kisha kutupwa[emoji3]
 
Makubwa, kumbe dada Halima Bulembo ana mtoto wa Zitto Kabwe?
Bulembo ni chizi tu, kwn zitto kumzalisha binti yake ndo igeuke kuwa vita?? 2010 kwenye udiwani kata ya kijitonyama alishindwa na mgombea wa chadema, akaenda mahakamani lkn bado akapigwa vile vile, je atamuweza zitto ?? Aache kutapa tapa huyo mzee...kigoma ina wenyewe
 
Pascal uoga wako sio wa kubeza hata kidogo. Si unamkumbuka Mudhihir wa Mchinga jaribio lake pale Bungeni LA kumuuazimia Zitto Kabwe kilichofuata ni nini
Hala hala...Bulembo!, kasome kisa cha Mfalme Midas, kinachoitwa "The Midas Touch", tunaojua chanzo cha chuki ya Bulembo kwa Zitto hatushangai, wasiwasi wangu ni badala ya Zitto kulia, asije kujikuta analia yeye!.

japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tuu makofi amechomoka!.
Watu wengine sio wa kuchezea!.
P
 
Kwa Mujibu wa Mwanaharakati huru Cyprian Musiba alituambia Harusi ilifanyika kwa Prof Assad na Mshenga akawa Dr Dau, sasa sijui ni au ni uongo
Harusi kwa Prof. Assad.
Mshenga ni Dr. Dau.
Hahahaaa,watu wa karibu na Mh. ZZK ni watu "makini" sana,wenye misimamo mikali kama Mh. ZZK mwenyewe.
Kongole jirani yangu Zitto.
 
Paskali acha kupotosha, mshangiliaji kachomoka na Carolina. Zitto siyo kigagula kiasi hicho.
Anyway huyo bulembo anayetishia katumia kiinua mgongo chake kwani Zitto hakulipwa hayo mamilion? Haoni aibu kumshambulia mtu aliyemsaidia kazi ambayo bulembo haruhusiwi kufanya? Aheshimu mkwewe.
Bulembo hana adabu
 
Hivi Bulembo amewahi kushinda uchaguzi? Achana na huu ubunge wa viti maalumu aliozawadiwa
Udiwani hapa Kijitonyama alishindwa akaenda mahakamani akaangukia pua ndiyo akaambulia uenyeki wa Wazazi huko CCM ambako alipiga mabilioni kadhaa yanayompa jeuri hadi leo.
 
Bulembo ni chizi tu, kwn zitto kumzalisha binti yake ndo igeuke kuwa vita?? 2010 kwenye udiwani kata ya kijitonyama alishindwa na mgombea wa chadema, akaenda mahakamani lkn bado akapigwa vile vile, je atamuweza zitto ?? Aache kutapa tapa huyo mzee...kigoma ina wenyewe
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Arafu yeye ndiye atakayechukua jukuma la kulipa ada za shule za mjukuu wake...huyu jamaa akili kumkichwa hamna kabisa....
 
Back
Top Bottom