Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Lete ukweli Mkuu...Sina hakika na taarifa yako, ila google uone elimu ya rais Jacob Zuma wa SA.
Kwa ccm lolote linawezekana kuhusu elimu lisikusumbueElimu ya Abdalla Bulembo unaijua? Ni darasa la saba hawezi kumudu madaraka ya katibu mkuu, ilimu yake ni shida
Huko yanga wamekubia wanahitaji katibu wa aina ya Bulembo?Bulembo bora awe katibu wa wa yanga
Ccm haitokuja kufanya hili kosa hata siku moja,Nchimbi ni kijana wa LowassaAaah katibu mkuu ni dr Emanuel nchimbi weka kumbukumbu
Hao wenye elimu ya Chuo Kikuu wamefanya lipi tofauti na wa la darasa la saba,Zuma anaongoza SA.Kuna wengine hawajafika Chuo Kikuu lakini wana uwezo mkubwa wa kuongoza,ungesema Bulembo anapewa Uwaziri wa Fedha hapo ndio ningepata shida,lakini kwa ukatibu mkuu wa siasa mkuu hapo sioni shida.Kwa taarifa za ndani kabisa, ni kwamba Mwenyekiti wa wazazi wa CCM, Addalla Bulembo ambaye ni darasa la saba kielimu anatarajiwa kumrithi Kinana ifikapo May hapo Rais Magufuli atakapoachiwa chama...
Yasemekana Rais Mstafu Kikwete, ambaye ni Mkt wa CCM kaamua kuachia kiti hicho ifikapo Mei ili ampe nafasi Rais Magufuli.
Acha kukariri nape alikua kijana wa mwandosya ikawaje akapewa uongozi jk akiwepoCcm haitokuja kufanya hili kosa hata siku moja,Nchimbi ni kijana wa Lowassa
Mkuu nadhani hapo ulikuwa unamaanisha CHADEMA na DjKwa ccm lolote linawezekana kuhusu elimu lisikusumbue
Huzi huu unahusu ccm chadema imetoka wapi hapa haya kachukue buku Saba yakoMkuu nadhani hapo ulikuwa unamaanisha CHADEMA na Dj
Bulembo in graduate wa Islamic knowledge toka Pakistan University. Sasa yuko njiani kupata masters kutoka Madras universityKwa ccm lolote linawezekana kuhusu elimu lisikusumbue