Bulembo: Polepole ni Unyasi kaletwa CCM na kokoro, V8 ameijulia CCM, Bashiru alitoka CUF. Nataka Mdahalo na Polepole

Maneno ya Bulembo!

Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.

Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.

Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi la mwenye chama unatakiwa uwe umekulia humo!

Inaonekana pia suala la kinana na makamba ni kubwa hawa wazee ndo CCM yenyewe!

Paramagamba Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa na Rais Samia sio sawa na Magufuli!

Hayo ni mambo ya Bulembo! Mmoja ya wenye COmbi.

Ombi! Vijana ambao Baba zenu sio wenye chama mwisho wenu 2025!

======

View attachment 2041643
Sitaki kumjibu Polepole, kwenye CCM ni mchanga, ni sawa sawa na mtoto wa darasa la kwanza anajibiwa na wa chuo kikuu. Polepole ni sawa na unyasi mkavu. Siku Polepole anaingia kwenye chama kujitangaza, alipewa nguo za CCM na Nape Nnauye- Abdallah Bulembo

Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu- Bulembo

Polepole hawezi kuwa mzuri kwa Magufuli kuliko mimi. Nimekaa na Magufuli siku 90 kwenye kampeni za uchaguzi. Nimebadilishana naye nguo wakati wa kampeni. Polepole anampenda Magufuli kwa kuwa alimpa zawadi ya nafasi- Abdallah Bulembo

Lengo la Polepole ni kumkatisha tamaa Rais Samia. Hawezi ni mdogo sana. Rais Samia aachwe, namjua anaweza. Nimekaa naye namjua. Aachwe afanye kazi, lakini wakija vijana wenzenu na shule ya uongozi, huwezi kuifanya ukiwa mbunge, subiri umalize ubunge. Hivi unasema lipi?- Bulembo

Magufuli alituwekea Profesa Kabudi mambo ya nje akavuruga mahusiano yote ya kimataifa. Mama Samia kaingia amemteua Balozi Liberata Mulamula, leo Mama Samia amehutubia mikutano huko UN. Mambo ya kimataifa nchi zinaingiliana- Abdallah Bulembo

"Tuliwaheshimu Polepole na mwenzake kutoka CUF anaitwa Bashiru kwa sababu tu aliyewateuwa tulikuwa tunamheshimu, Magufuli alimteuwa Bashiru Kutoka Cuf kuja kutuhoji kuhusu mali za chama nikamgomea kunihoji nikamwambia yeye sio mwana CCM" Abdallah Bulembo

ZAIDI SOMA;

Dar es Salaam. Mwenyekiti mstaafu wa jumuiya ya wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo amemtaka mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amwache Rais Samia Suluhu Hassan atekeleze majukumu yake.

Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 12,2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari akimjibu Polepole kuhusu lawama alizotoa dhidi ya Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

Bulembo amemuomba makamu mwenyekiti wa chama hicho bara, Philip Mangula kumuhoji Polepole kama alivyowahoji makatibu wakuu wa zamani, Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba ambao sauti zao zilivuja wakikosoa viongozi na mwenendo wa chama hicho tawala, akitaka Polepole naye aitwe kamati ya maadili.

Huku akisisitiza kuwa anakemea suala hilo kama mwanachama wa kawaida na hajatumwa na mtu amesema, “kama Polepole anataka kutoka atoke atuachie CCM maana ana wenzake wanaomshawishi kuanzisha chama chao, asitapetape na kuongea mambo ambayo hayaeleweki.”

"Hawa kina Polepole waliojificha hawatusumbui ndani ya CCM kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama kama mwanachama anaenda tofauti kuna onyo, kufungiwa au kufukuzwa uanachama.”

Bulembo amesema anamfahamu Polepole tangu mwaka 2012 alipoteuliwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete kuwa mjumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba.

"Siyo kwamba ndani ya CCM tulifurahia uteuzi wake wa ukatibu mwenezi Taifa bali tuliheshimu mamlaka ya aliyekuwa mwenyekiti Taifa hayati John Magufuli bali. Hamjali Samia na kimsingi hawezi kumpangia rais cha kufanya, yeye ni nani,”amesema Bulembo
View attachment 2041667
Mzee huo ni Unafiki Polepole ulikuwa nae CCM mbona ukimwambia Maneno hayo ?
Je Magufuli angekuwa hai ungethubutu kusema Maneno hayo Acha UNAFIKI MZEE
 
Ipo siku watasema walichomfanya Magufuli. Eti kwa vile hayupo ndo Bulembo anasema Maguful alivuruga diplomasia. Why hamkusema akiwepo ?Kweli Magufuli hakufa kifo cha kawaida. Hawa walimtanguliza.
Corona haijawai kuwa na masikhara na wapuuzi! Si Nkurunziza si kaka yake Magufuli. Wote iliwafyeka
 
Mara baada ya Rais Samia kuingia madarakani kama Rais wa JMT tumeona watu ndani ya CCM wakiibuka na kutoa matamko ya kwenda kinyume na awamu ya sita. Wengi wao kwa sasa wamenyamaza na kuamua kusapoti serikali iliyopo huku wengine wakiwa kimya hawaeleweki. Aliyekuwa Katibu mwenezi ndo kabaki akiongea mengi yaliyo kinyume na serikali iliyopo kama vile naye ni mpinzani. Kuanzia chanjo ya Covid19 hadi ishu ya wamachinga kaonyesha upinzani mkubwa kuliko hata CHADEMA wenyewe.

Kama vile haitoshi akaamua kuwa na program yake ya Shule ya uongozi huko you tube ambapo ukimsikiliza bado masomo yake ni ya kupinga serikali iliyopo. Hivi majuzi naona baada ya kuona kuna dalili ya yeye "kufinywa" kaamua aje na press conference kutaka huruma za wananchi. Mimi ninamshauri ikiwa bado mapema huyu jamaa awatake radhi viongozi wote wa CCM na serikali kuanzia Rais hadi wengine ambao anajua kawakosea. Baada ya hilo zoezi akae kimya kabisa ikiwezekana astaafu siasa na kufanya mambo mengine.

Tuhuma za mambo maovu kuhusu Polepole ni nyingi sana kiasi kwamba inashangaza anapojitokeza hadharani na kuropoka. Polepole ni miongoni mwa watu wachache walioratibu uchaguzi mkuu wa mwaka jana ambao haukuwa huru... kwa uchaguzi ule kama ingekuwa nchi jirani kungetokea ghasia kubwa. Ni Mungu tu aliepusha.

Nimkumbushe kwamba serikali ya sasa hivi ni ya watu wanaojua siasa kiundani na sio siasa za awamu iliyopita zenye ubabe wa kijinga. Hawa viongozi wa sasa hivi ni wanasiasa waliobobea.. wanakupa kifinyo kimyakimya huku umma ukiwa hauelewi kinachoendelea. Yaani Polepole akija kushtuka kashachakazwa. Ukiangalia wanaotajwa kama maswahiba wa Polepole hawana mizizi yoyote ndani ya chama wala hawana uzoefu na siasa za CCM.

NDUGU YANGU POLEPOLE KAA KWA KUTULIA.
Lakini kalemani ana uzoefu mkubwa tu katika chama[emoji1745]
 
Duh mambo sio easy,... Hapo alimpo mtaja Bashiru yaan ni direct inaonyesha hawapo sawa
 
Raha sana CCM wakiwa wananyukana, bahati mbaya wabongo wengi wapiga kura huwa hawafuatilii haya mambo kuona chama wanachokichagua kila mara hakina dira yoyote zaidi ya kugombania vyeo
Kwan ccm huwa inachaguliwa mkubwa?!!! Wewe ulishawah kuichagua? Msimamiz wa uchaguz anachaguliwaga na nani?
 
Maneno ya Bulembo!

Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.

Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.

Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi la mwenye chama unatakiwa uwe umekulia humo!

Inaonekana pia suala la kinana na makamba ni kubwa hawa wazee ndo CCM yenyewe!

Paramagamba Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa na Rais Samia sio sawa na Magufuli!

Hayo ni mambo ya Bulembo! Mmoja ya wenye COmbi.

Ombi! Vijana ambao Baba zenu sio wenye chama mwisho wenu 2025!

======

View attachment 2041643
Sitaki kumjibu Polepole, kwenye CCM ni mchanga, ni sawa sawa na mtoto wa darasa la kwanza anajibiwa na wa chuo kikuu. Polepole ni sawa na unyasi mkavu. Siku Polepole anaingia kwenye chama kujitangaza, alipewa nguo za CCM na Nape Nnauye- Abdallah Bulembo

Najiuliza Mzee Philip Mangula yupo wapi kwa hili linaloendelea kwa Polepole? Kama aliweza kuwahoji makatibu wakuu Wazee Makamba na Kinana, ameshindwa nini kwa Polepole? Naamini, Polepole analo jambo na ukitaka kufanya jambo, usiseme nishikeni nisipigane, wewe pigana tu- Bulembo

Polepole hawezi kuwa mzuri kwa Magufuli kuliko mimi. Nimekaa na Magufuli siku 90 kwenye kampeni za uchaguzi. Nimebadilishana naye nguo wakati wa kampeni. Polepole anampenda Magufuli kwa kuwa alimpa zawadi ya nafasi- Abdallah Bulembo

Lengo la Polepole ni kumkatisha tamaa Rais Samia. Hawezi ni mdogo sana. Rais Samia aachwe, namjua anaweza. Nimekaa naye namjua. Aachwe afanye kazi, lakini wakija vijana wenzenu na shule ya uongozi, huwezi kuifanya ukiwa mbunge, subiri umalize ubunge. Hivi unasema lipi?- Bulembo

Magufuli alituwekea Profesa Kabudi mambo ya nje akavuruga mahusiano yote ya kimataifa. Mama Samia kaingia amemteua Balozi Liberata Mulamula, leo Mama Samia amehutubia mikutano huko UN. Mambo ya kimataifa nchi zinaingiliana- Abdallah Bulembo

"Tuliwaheshimu Polepole na mwenzake kutoka CUF anaitwa Bashiru kwa sababu tu aliyewateuwa tulikuwa tunamheshimu, Magufuli alimteuwa Bashiru Kutoka Cuf kuja kutuhoji kuhusu mali za chama nikamgomea kunihoji nikamwambia yeye sio mwana CCM" Abdallah Bulembo

ZAIDI SOMA;

Dar es Salaam. Mwenyekiti mstaafu wa jumuiya ya wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo amemtaka mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole amwache Rais Samia Suluhu Hassan atekeleze majukumu yake.

Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Desemba 12,2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari akimjibu Polepole kuhusu lawama alizotoa dhidi ya Samia ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

Bulembo amemuomba makamu mwenyekiti wa chama hicho bara, Philip Mangula kumuhoji Polepole kama alivyowahoji makatibu wakuu wa zamani, Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba ambao sauti zao zilivuja wakikosoa viongozi na mwenendo wa chama hicho tawala, akitaka Polepole naye aitwe kamati ya maadili.

Huku akisisitiza kuwa anakemea suala hilo kama mwanachama wa kawaida na hajatumwa na mtu amesema, “kama Polepole anataka kutoka atoke atuachie CCM maana ana wenzake wanaomshawishi kuanzisha chama chao, asitapetape na kuongea mambo ambayo hayaeleweki.”

"Hawa kina Polepole waliojificha hawatusumbui ndani ya CCM kwa mujibu wa kanuni na katiba ya chama kama mwanachama anaenda tofauti kuna onyo, kufungiwa au kufukuzwa uanachama.”

Bulembo amesema anamfahamu Polepole tangu mwaka 2012 alipoteuliwa na rais mstaafu Jakaya Kikwete kuwa mjumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba.

"Siyo kwamba ndani ya CCM tulifurahia uteuzi wake wa ukatibu mwenezi Taifa bali tuliheshimu mamlaka ya aliyekuwa mwenyekiti Taifa hayati John Magufuli bali. Hamjali Samia na kimsingi hawezi kumpangia rais cha kufanya, yeye ni nani,”amesema Bulembo
View attachment 2041667
Wote hao wanatetea matumbo yao #tunataka katiba mpya#
 
Duu CCM siyo poa unatupiwa maneno unatupiwa virago bado roho tuu,

Yatima hadeki.
 
Uko CCM kila mtu ni mchumia tumbo. Mungu naomba uendelee kuwafanya hawa wahuni toka CCM waendelee kuvurugana mpaka chama kife kabisa
 
Nilichojifunza kwa kipindi hiki cha mwaka mmoja. Tanzania kuna unafiki mkubwa sana. Tuna wivu sana hatupendi mafanikio tutakuwa masikini kwa kipindi kirefu sana. Na uwezekano wa kuwawajibisha viongozi haupo kwasababu ni wanafiki. Unaweza sema unasaidia huku kumbe huyo hyo unayemnafikia baadaye anakuja kukusaliti na kukudhalilisha. Trust no one. Ishi wewe ulivyo fanya mambo yako kwa ustadi mkubwa.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hahahah mda mwingine akina Bulembo wanasumbuliwa na udini pamoja na ujinga! Yaani anajidai alikuwa anampenda Magufuli kwani kutembea na Magufuli kama kampeni maneja ndo kuwa naupendo nae? Yaani ukimsikiliza ndo utajua kiwango chake cha ujinga!
Kwanza kaonyesha waziwa yeye na wahuni hawakumpenda magu lichaya kutembea naye siku 60,alitembea naye kinafiki tu.
 
Back
Top Bottom