Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu, natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa pembe za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi
1. Weka bei ya ngozi kwa kiloBull forge ni kampuni inayojishughulisha na ununuz wa bidhaa mbalimbali za ng'ombe.
Tunanua Ngozi kavu pia pembe za ng'ombe.
Ukiona mtu anatafuta bidhaa halafu haweki mawasiliano yake au anataka afuatwe pm huyo jua ni mbabaishaji, ukiona mtu anatangaza kutafuta bidhaa hajaweka bei yake lakini anataka apewe bei na mwenye bidhaa hua sipotezi muda wanakua wababaishaji , ni type ya wafanyabiashara wa mitandaoni mashujaa wa keyboard ambao hawajawahi kua ground1. Weka bei ya ngozi kwa kilo
2. Weka bei ya pembe kwa kilo
3. Weka mawasiliano yako
4. Sema unapatikana wapi
5. Bainisha uwezo wako ni kuchukua kuanzia kilo ngapi za bidhaa unazo hitaji.
Hakuna mfanyabiashara huyu anajua kuandaa posters za matangazo na kampuni yake ya mfukoni watu wa aina hii hua ukiwafahamu hawakupi shidaHakuna biashara hapo.
Nenda
Nenda machinjioni utapata
Thanks, machinjio ya wapNenda machinjioni utapata
Pale huwa na nanua sema nilkuwa nataka kwa wingiNenda vingunguti.
Tuwasiliane 0713879793 , 06895290411. Weka bei ya ngozi kwa kilo
2. Weka bei ya pembe kwa kilo
3. Weka mawasiliano yako
4. Sema unapatikana wapi
5. Bainisha uwezo wako ni kuchukua kuanzia kilo ngapi za bidhaa unazo hitaji.
Mawasiliano mbona nmeweka kwenye posterUkiona mtu anatafuta bidhaa halafu haweki mawasiliano yake au anataka afuatwe pm huyo jua ni mbabaishaji, ukiona mtu anatangaza kutafuta bidhaa hajaweka bei yake lakini anataka apewe bei na mwenye bidhaa hua sipotezi muda wanakua wababaishaji , ni type ya wafanyabiashara wa mitandaoni mashujaa wa keyboard ambao hawajawahi kua ground
Najua zinapatikana machinjio ila demand nilokuwa nayo imekuwa kubwa compared na machinjio ambayo nachukua , ndo maana nimeshare tangazo kama kuna mtu anazo au anafahamu exactly machinjio gan napata uniunganisheAnasema popote ngozi watafuata hivo hata piece moja wao watakuja, halafu mbona ni easy unakwenda machinjio mbalimbali taarifa utapata huko na unafanya biashara.
Umeiweka vzr japo wanafanyaga sir kitu kinacho kuja kua fulsa kwa watu wengine1. Weka bei ya ngozi kwa kilo
2. Weka bei ya pembe kwa kilo
3. Weka mawasiliano yako
4. Sema unapatikana wapi
5. Bainisha uwezo wako ni kuchukua kuanzia kilo ngapi za bidhaa unazo hitaji.