Bull Forge wanunuzi wa ngozi kavu na pembe za ngombe.

Bull Forge wanunuzi wa ngozi kavu na pembe za ngombe.

Hivi mnajua mziki wa kupata hizi vitu?? Nilipata oda kwa Mchina mmoja 2017 alikuwa ananunua pembe kg 9000/= , Leta tani za uwezo wako aisee nilizunguka maeneo Moro, Iringa, mbeya n.k ila unakuta mtu anasubiri akichinjwa ng’ombe hata mmoja ananunua na kapanga na chumba hilo eneo kwa ajili hiyo tu, KWELI WABONGO WANAJUA KUTEMBEA NA FURSA🤣🙌🏻 (Nilizani nimeotea mchongo mwenyewe nilipoingia field nikatulia na kuendelea na mishe zangu🤣)
Uko sahihi bongo unaweza kupata fursa ya kukusanya kitu fulani hesabu ya kwenye karatasi utaona umepata mchongo na utajiri nje nje , unaweza kuanza hadi kufanya sherehe na kutangaza wewe hela umepata, nenda field kakusanye utakuta maajabu makubwa umepewa upeleke vitu 500 , unajikuta unakusanya hadi unakata tamaa na mchongo inaishia hapo, kuna watu kila deal wameshaidominate toka enzi na enzi so ukiwa mgeni hadi ukuze empire yako utajikuta unaishia kupoteza pesa yako
 
0689529041
0713879793
Njoo Shinyanga! Ungeweka na bei ningewatafutia mtu wa Meatu! Au njoo tusaini mkataba vijana wangu wawakusanyie kule kwenye Kata yangu wakati niko halmashauri!
 
Kweli mkuu! , me huu mchongo ulinikatisha tamaa nilipoenda mbeya mjini palikuwa pagumu kupata mzigo nakamuua niende chunya nayoikawa kisanga nilipochoka zaidi nikaingia chunya vijijini kule kwa week wanachinja ng’ombe mmoja aisee napo nakuta kuna mwamba kaweka oda nilichoka 😁, NIKASEMA NANI ALISEMA WABONGO WAVIVU WA KUTAFUTA HELA 🤣🤣🙌🏻
 
Ukiona umepata soko la bidhaa fulani kirahisi fahamu wazi bidhaa Ile hautokuja uipate ya kiwango kizuri kirahisi na ukiona umepata bidhaa fulani kwa urahisi fahamu soko itakua ligi kulipata, hiyo hua iko kwenye biashara zote, ndio maana unaweza kukusanya kitu mara ya kwanza ukafika sokoni ukauza , kurudi mara ya pili kukusanya unakuta bidhaa imepanda bei au haipo kabisa.
Lakini wakongwe kwenye game wanajua njia za kupita na utawaona barabarani kila siku, kitu kinachoitwa biashara sio kazi ya kila mtu ndio maana wale wanaovamia kila Leo huangukia pua na maumivu makali
 
Njoo Shinyanga! Ungeweka na bei ningewatafutia mtu wa Meatu! Au njoo tusaini mkataba vijana wangu wawakusanyie kule kwenye Kata yangu wakati niko halmashauri!
OKay mkuu nichek tuongee 0628522161
 
Anasema popote ngozi watafuata hivo hata piece moja wao watakuja, halafu mbona ni easy unakwenda machinjio mbalimbali taarifa utapata huko na unafanya biashara.
Jamaa amemalizq hapo juu kama ni wabababaishaji
 
Mkuu ungeweka na bei kabisa ili watu wakiingia mzigoni wajue wanaambulia kitugan
 
Ukiona mtu anatafuta bidhaa halafu haweki mawasiliano yake au anataka afuatwe pm huyo jua ni mbabaishaji, ukiona mtu anatangaza kutafuta bidhaa hajaweka bei yake lakini anataka apewe bei na mwenye bidhaa hua sipotezi muda wanakua wababaishaji , ni type ya wafanyabiashara wa mitandaoni mashujaa wa keyboard ambao hawajawahi kua
Mbona mawasiliano kaweka
 
Back
Top Bottom