Bullet proof vest ilivaliwa ili kumchafua mtu moja tu ndani ya CHADEMA ili aonekane ni kitisho kwa wengine na mbaya kwenye chama na jamii kwa ujumla

Sisiyemu oyeeee
 
Mnakuaga na vihoja vya kipunguani sana.
Gentleman,
kama huna mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani unakaa kimya tu,

kuliko kumbwelambwela na mihemko na makasiriko yasiyo na maana πŸ’
 
Kama kuna kitu kinawanyima usingizi maCCM ni Tundu Antipasi Mugwai Lissu! He is an unstoppable force!
 
Kulikuwa na kitisho cha usalama maana watanzania walikuwa wanatekwa halafu samia hachukui hatua zozote kukomesha utekaji wa raia wake.Yawezekana mbowe alikuwa anakula njama na samia ili wampige tena risasi.
 
Nadhani muhusika alisema amepewa taarifa kuna wasiojulikana wanataka wammalize halafu wamsingizie FAM kwasababu ya uchaguzi.
Na kwasababu alishawahi jaribiwa kuuawa hakuchukulia pouwa akajihami na uchaguzi umeisha.
Sasa wasiojulikana watakosa wakumsingizia itajulikana ni wao tu.

Kundi linalotaka TAL afe yeye mwenyewe TAL alishasema ni akina nani kwanini tuanze kuhisi wakati muhusika alishataja mpaka pengine kwa majina.
 
Mun

Muda wowote mtu yeyote anavaa anavyotaka ili mradi havunji sheria!
Gentleman,
bullet proof vest kwenye uchaguzi wa chadema ilivaliwa kwa press conference, makelele na mbwembwe nyingi sana,

na mvaa bullet proof vest akaenda mbali zaidi na kusema haindi tena kumanga msosi na pilau kule alikokua anafadhiliwa msosi,

so,
acha upotoshaji gentleman πŸ’
 
Gentleman,
Pamoja na hilo,
aliapa hataenda tena kumanga msosi kwa huyo anae dai atasingiziwa?

kwanini avae bullet proof vest halafu aseme haindi tena kumanga msosi nyumbani kwa chairman wa zamani?πŸ’
 
Kama una majibu haya why bothering? Kelele za mtu mwingine zilikukwaza? Ukakosa ucngzi au ugali? Hata mbwembwe ukiona si unapuuza tu? Mbona kulikuwa na mijimbwembwe kule dodoma majuzi, ya wasanii dunia nzima wazee kina kimbisa hadi bongofleva na hamna mtu alijali wote walipuuza tu? Ukiona havikuhusu gentleman achana navyo tu fanya mengine! Life is full of choices
 
Kulikuwa na kitisho cha usalama maana watanzania walikuwa wanatekwa halafu samia hachukui hatua zozote kukomesha utekaji wa raia wake.Yawezekana mbowe alikuwa anakula njama na samia ili wampige tena risasi.
na mbona baada ya uchaguzi tu hakuna kitisho cha usalama tena ndani ya chadema? Kwahiyo bullet proof vest haina kazi tena right?πŸ’

Kama kuna kitu kinawanyima usingizi maCCM ni Tundu Antipasi Mugwai Lissu! He is an unstoppable force!

sure,
muungwana ana mdomo, makelele na kubwekabweka mno, na CCM haitaki makelele yake gentleman πŸ’
 
unafiki usipokemewa unakua ukweli gentleman,

relax tu,
kama huna point ya kwanini bullet proof vest haivaliwi tena saivi na ilivaliwa tu kwenye uchaguzi wa chadema, kaa kimya tu na itapendeza zaidi gentleman πŸ’
 
Itavaliwa tu kukiwa na uhitaji wala usihofu fanya yako, usimdistruct mwenyekiti yupo busy kuunda mifumo ya uendeshaji wa taasisi na alishasema internet warriors wala hawamshughulishi!
 
Itavaliwa tu kukiwa na uhitaji wala usihofu fanya yako, usimdistruct mwenyekiti yupo busy kuunda mifumo ya uendeshaji wa taasisi na alishasema internet warriors wala hawamshughulishi!
kwanini isitangazwe tu kwa wagombea uongozi wote wa chadema nyakati za uchaguzi wa ndani ya chama chao wawe wanavaa bullet proof vest kwasabb ya kitisho cha usalama miongoni mwao wenyewe?

kwanini walisingiziwa wasio husika na chadema hali ya kuwa ni wazi tatizo lipo ndani ya chadema yenyewe?πŸ’
 
Mbona wewe mleta hii habari ndiyo mchonganishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…