Bullet proof vest ilivaliwa ili kumchafua mtu moja tu ndani ya CHADEMA ili aonekane ni kitisho kwa wengine na mbaya kwenye chama na jamii kwa ujumla

Kukiwa na uhitaji mbona itatangazwa tu? Una mashaka gentleman? Kukiwa na hali ya hatari ni hulka ya binadamu kuchukua tahadhari tu, so huwezi kubeba tochi wakati jua limewaka ila usiku unachukua tu hata km taa zimewaka kwa tahadhari
 
Mbona wewe mleta hii habari ndiyo mchonganishi?
si kweli gentleman,
kutaka kufahamu ukweli sio uchonganishi ni namna ya kujiridhisha tu kwamba kitisho cha kiusalama kwa aliekua ana vaa bullet proof vest kulikua ndani ya chadema yenyewe, ila alikua akisingizia Taasisi za nje ya chadema 🐒
 
Kwani kitisho cha dodoma unafikiri amesahau.
 
Wajinga zaidi yako wamefanya Sana huu uhuni mpaka wamechoka lkn hawajabadilisha chochote. Wewe mjinga ahueni huwezi kubadili chochote.
 
Kukiwa na uhitaji mbona itatangazwa tu? Una mashaka gentleman? Kukiwa na hali ya hatari ni hulka ya binadamu kuchukua tahadhari tu, so huwezi kubeba tochi wakati jua limewaka ila usiku unachukua tu hata km taa zimewaka kwa tahadhari
ndio,
nina mashaka kwamba mvaa bullet proof vest alilenga kumpaint kiongozi wa chadema aonekane ndio tishio kwa usalama wake huku akisingizia kwa unafiki Taasisi za nje ya chadema 🐒
 
CHADEMA imepoteza mvuto na uelekeo
 
Wajinga zaidi yako wamefanya Sana huu uhuni mpaka wamechoka lkn hawajabadilisha chochote. Wewe mjinga ahueni huwezi kubadili chochote.
relax gentleman,
huna haja ya mihemko wala makasiriko ikiwa huna point 🐒
 
Ukijifungua mimmba ya Lissu tutapumzika kwa nyuzi za kijinga
 
Kulikuwa na kitisho cha usalama maana watanzania walikuwa wanatekwa halafu samia hachukui hatua zozote kukomesha utekaji wa raia wake.Yawezekana mbowe alikuwa anakula njama na samia ili wampige tena risasi.
bilashaka umethibitisha mwenyewe mambo hayoo yalikua yakifanyika ndani ya chadema nyakati za uchaguzi wake wa ndani, right?
na kwahivyo chadema inafaa kutangazwa kama kikundi cha utekaji.
kwanini mabo hayo hakuna tena baada ya uchaguzi wao wa ndani kwisha kwisha?
 
Muhusika alisema anavaa bullet proff kwa ajili ya mtu fulani au umekuja na assumption nyepesi nyepesi?

Dude unaspend muda mwingi kutunga story za insta, nenda kwa wenyewe uliza upate facts

Your stories dont add up
 
Ukinifungua mimmba ya Lissu tutapumzika kwa nyuzi za kijinga
gentleman,
mihemko na makasiriko yasiyo na tija, huku ukiwa umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani ni ushirikina tu kama uchawi vile,

bora urilax tu kimyaaaa kuliko kumbwelambwela
 
Muhusika alisema anavaa bullet proff kwa ajili ya mtu fulani au umekuja na assumption nyepesi nyepesi?

Dude unaspend muda mwingi kutunga story za insta, nenda kwa wenyewe uliza upate facts

Your stories dont add up
je,
huyo mtu yupo au hayupo pale chadema?

maana bullet proof vest ilikua ikivaliwa kuelekea chadema hq pekee kana kwamba pale ndipo palikua eneo hatari zaid gentleman
 
gentleman,
mihemko na makasiriko yasiyo na tija, huku ukiwa umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani ni ushirikina tu kama uchawi vile,

bora urilax tu kimyaaaa kuliko kumbwelambwela
Qewe una mawazo gani zaidi ya kutetea tumbo lako na kuwapiga wanaotishia ulaji wenu ccm?
Mlitamani Mbowe kibaraka wenu aendelee ili mtawale kwa amani lkn sasa laja msiompenda.

Mmwjaribu kumuua hola, mmezuia asi haguliwe holaa.

Sasa anakuja kuwakeketta

Wajinger nyie
 
Chadema mna weweseka
CCM mnahaingaika
Bora anayehaingaika atajipata kuliko anayeweweseka asipoangalia anafia usingizini
ni muhimu tu kujiridhisha kwamba kulikoni bullet proof vest haivaliwi tena?

na nina alikua kitishao cha usalawa wa wavaa bullet proof pale chadema hq?

na vipi hali ya usalama kwa sasa gentleaman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…