Bullet proof vest ilivaliwa ili kumchafua mtu moja tu ndani ya CHADEMA ili aonekane ni kitisho kwa wengine na mbaya kwenye chama na jamii kwa ujumla

Qewe una mawazo gani zaidi ya kutetea tumbo lako na kuwapiga wanaotishia ulaji wenu ccm?
Mlitamani Mbowe kibaraka wenu aendelee ili mtawale kwa amani lkn sasa laja msiompenda.

Mmwjaribu kumuua hola, mmezuia asi haguliwe holaa.

Sasa anakuja kuwakeketta

Wajinger nyie
sasa ndugu mjanja mbona una weweseka tu na kumbwelambwela?

au njaa inakuhenyenta?

kwanini kinaraka wa mabawenyenye ya magharibi havai tena bullet proof?

alikua ana muogopa nani zaidi pale chadema hq?:pedroP:
 
je,
huyo mtu yupo au hayupo pale chadema?

maana bullet proof vest ilikua ikivaliwa kuelekea chadema hq pekee kana kwamba pale ndipo palikua eneo hatari zaid gentleman:pedroP:
Bullete proof inavaliwa kwa usalama wake, last time aliposhbuliwa alishambuliwa na watu wa chadema?

Uache kupush agenda ambazo hazipo
 
sasa ndugu mjanja mbona una weweseka tu na kumbwelambwela?

au njaa inakuhenyenta?

kwanini kinaraka wa mabawenyenye ya magharibi havai tena bullet proof?

alikua ana muogopa nani zaidi pale chadema hq?:pedroP:
Unakatwe kinemb..e wewe
 
Bullete proof inavaliwa kwa usalama wake, last time aliposhbuliwa alishambuliwa na watu wa chadema?

Uache kupush agenda ambazo hazipo
wadau wanataka kufahamu pale chadema HQ,
nani alikua kitisho cha usalama wake hata akawa na vaa bullet proof vest akienda hapo tu?

Na je,
usalama wake ukoje kwa sasa?

na kama kitisho kilikua chadema HQ, kwanini alisingizia taasisi za nje ya chadema?

pole kwa maswali magumu ambayo huna uwezo nayo gentleman:pedroP:
 
Hao wadau walishawapata walimshambulia? Punguza unafiki na hao wadau wako.

Huna point
 
mnafiki mkuu ni huyo mvaa bullet proof vest anae panga kwenda kumtembelea mtu ambae alikua anampaint kwa uma kama threat kwenye usalama wa maisha yake ndani ya chadema,

zaidi ya hapo pia,
mvaa bullet proof vest,
alijaribu kumchafua mwamba hadharani kwamba anaweza hata kumpoisone kwenye food, na kwahivyo haendi tena kumanga msosi kwake,

kumbuka,
huyo kibaraka tangu atue bongo aliku ana manga msosi free kwa huyo mwamba ambae kwenye uchaguzi alidai ni mtu mbaya sana kiasi cha kumvalia bullet proof :NoGodNo:
 
Haman unafikir wowote, viongozi kibao marekani wanavaa, matajiri kibao wanavaa? Nao wanafiki?

Huna point bro, halaf we na wale wenzio wengine ndio mliouwa mnapiga vita asichaguliwe, sasa kachaguliwa mnatafuta minor issues

Grow up nigga
 
kwahiyo hapa tunajadili mambo ya marekani gentleman?

au tunajadili kuchaguliwa na kutokuchaguliwa?

mbona unahamisha magoli kirahisi hivyo?

anyway,
nilisha declare mapema kwamba samahani kwa maswali magumu dhidi ya usalama wa mvaa bullet proof pale chadema hq :NoGodNo:
 
Hapakuwa na kitisho cha usalama kwa mTanzania yeyote wakati wa uchaguzi wa CHADEMA Taifa, bali ilikuwa ni drama ya kutafuta kiki, huruma kwa jamii na na baadhi ya viongozi wagombea kujaribu kuwapaint baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA, kwamba ni watu tishio, wenye nia na mipango ovu dhidi ya maisha na uhai wa wengine ndani ya chama chao.

Kulikoni sasa baada ya uchaguzi wa CHADEMA kwisha, hakuna kitisho cha kiusalama kwa mTanzania yeyote, wala hakuna tuhuma wala mipango ovu ya utekaji, na wala hakuna anavaa bullet proof vest?

Imekuaje tena bullet proof vest haivaliwi, wakati ilifanyiwa hadi press conference, kwa makelele na mdomo sana?

Serikali sikivu ya CCM ilisingiziwa kila aina ya uovu wa ndani ya CHADEMA. Haya sasa mbona songombingo na ngojera za utekaji kimya baada ya uchaguzi wa CHADEMA kwisha? Bila shaka, ni wazi sasa tatizo lilikua ndani ya CHADEMA yenyewe.

Pia soma > Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

Ndugu zangu wadau,
zile sarakasi za wanachadema kupotea kila wakati wa uchaguzi wao wa ndani haikua drama miongoni mwao wenyewe na kusingizia wengine?

Wataalamu wa bobevu wa masuala ya kisiasa nchini,
tulisema kwamba katika uongozi uliopo kazi kubwa na ya maana sana itakayofanyika ni vikao vya kufukuzana uanachama, press conference za mikwara ya umbwa koko, vitisho vya maandamano na matamko yasiyo na kichwa wala maskio,

Wanachama wengi muhimu watajiengua CHADEMA kujitenga na uongozi wa juu usioaminika na ulioghubikwa na unafiki wa kiwango cha juu sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mbona mambo ya uchaguzi wa Chadema ulikwisha pita, wahusika wanaendelea na mambo mengine wewe bado haukubaliani na huo uchaguzi! Nenda kauzuie mahakamani.
 
Tundu Lissu na Chadema yake ni WAIGIZAJI.....
 
Mbona mambo ya uchaguzi wa Chadema ulikwisha pita, wahusika wanaendelea na mambo mengine wewe bado haukubaliani na huo uchaguzi! Nenda kauzuie mahakamani.
acha upotoshaji gentleman,
nazungumzia bullet proof vest,

kazi yake iliisha lini kwani? :pedroP:
 
ni muhimu tu kujiridhisha kwamba kulikoni bullet proof vest haivaliwi tena?

na nina alikua kitishao cha usalawa wa wavaa bullet proof pale chadema hq?

na vipi hali ya usalama kwa sasa gentleaman?:pedroP:
Kwanza niweke wazi mimi si mpenz au mfuasi wa chama chochote cha siasa, siipendi CCM wala CDM, mimi nina fikra huru na ukiwa huru kufikiri na kutoa mtazamo wako huru huwezi kudumu ktk hivi vyama, ukiongea utaonekana wewe ni CDM au CCM... Ila napenda sana siasa naifuatilia kwa ukaribu sana kwasababu ndio maisha...

CDM walitumia nguvu kubwa sana ktk uchaguz wa uenyekit, Mbowe alitumia ushawishi wake binafsi ndani ya chama kupiga kampen zake... Lissu alitumia nguvu kubwa ya kejeri dhihaka vijembe na kuhadaa umma kwamba Mbowe ni mbaya fisadi na mbadhilifu ndani ya chama...
Lissu alivaa bullet proof kupata kiki ili azingatiwe na kusikilizwa chochote atakacho ongea... Mbowe kama angekuwa amejiandaa na uchaguz kama lissu na team yake walivyojiandaa chini chini, trust me Mbowe angeshinda uchaguz kwa 80% mchana kweupe...
Hivyo basi mbwembwe zote alizotumia lissu japo hazikuwa na afya kwa CHADEMA baada ya uchaguz zimemsaidia kupata uenyekit lakini hazita msaidia kuendesha chama na atapata wakati mgumu sana... Nguv au silaha za kampen ziliyotumika zilifaa kupigana na CCM sio wao kwa wao... Ndiyo maana Mbowe alisisitiza uchaguz umeisha Lissu na wenzake watumie busara na muda kukiponya chama...

😂🤣 vipi tujadili zile faulo na bao la mkono la juzi kati pale jijini kwa wagogo, Msoga akawapiga chenga sukuma gang akaweka mpira kwapani akampa bi mdashi afunge penati bila kipa... Wajumbe wakabaki wameshangaa goli limefungwa na mpira umeisha..?
Aaaaah weeee hii mbaya tusiijadili kwasasa 😂

Siasa tamu sana
 
Hapakuwa na kitisho cha usalama kwa mTanzania yeyote wakati wa uchaguzi wa CHADEMA Taifa, bali ilikuwa ni drama ya kutafuta kiki, huruma kwa jamii na na baadhi ya viongozi wagombea kujaribu kuwapaint baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA, kwamba ni watu tishio, wenye nia na mipango ovu dhidi ya maisha na uhai wa wengine ndani ya chama chao.

Kulikoni sasa baada ya uchaguzi wa CHADEMA kwisha, hakuna kitisho cha kiusalama kwa mTanzania yeyote, wala hakuna tuhuma wala mipango ovu ya utekaji, na wala hakuna anavaa bullet proof vest?

Imekuaje tena bullet proof vest haivaliwi, wakati ilifanyiwa hadi press conference, kwa makelele na mdomo sana?

Serikali sikivu ya CCM ilisingiziwa kila aina ya uovu wa ndani ya CHADEMA. Haya sasa mbona songombingo na ngojera za utekaji kimya baada ya uchaguzi wa CHADEMA kwisha? Bila shaka, ni wazi sasa tatizo lilikua ndani ya CHADEMA yenyewe.

Pia soma > Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

Ndugu zangu wadau,
zile sarakasi za wanachadema kupotea kila wakati wa uchaguzi wao wa ndani haikua drama miongoni mwao wenyewe na kusingizia wengine?

Wataalamu wa bobevu wa masuala ya kisiasa nchini,
tulisema kwamba katika uongozi uliopo kazi kubwa na ya maana sana itakayofanyika ni vikao vya kufukuzana uanachama, press conference za mikwara ya umbwa koko, vitisho vya maandamano na matamko yasiyo na kichwa wala maskio,

Wanachama wengi muhimu watajiengua CHADEMA kujitenga na uongozi wa juu usioaminika na ulioghubikwa na unafiki wa kiwango cha juu sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kinga ni bora kuliko Tiba
 
nazungumzia kuvaliwa bullet proof vest gentleman,

nataka kujiridhisha tu kwamba uchaguzi wa ndani ya chadema ulikua na kitisho cha usalama kwa mgombea uongozi moja right?

nani alikua kitisho kwa mwingine?

vip hali ya usalama kwa sasa ndani ya chadema?🐒
Mkuu kitisho cha utekaji nacho kimepungua sana baada ya uchaguzi! Pia hakuna sheria iliyo vunjwa.
 
Gentleman,
bullet proof vest kwenye uchaguzi wa chadema ilivaliwa kwa press conference, makelele na mbwembwe nyingi sana,

na mvaa bullet proof vest akaenda mbali zaidi na kusema haindi tena kumanga msosi na pilau kule alikokua anafadhiliwa msosi,

so,
acha upotoshaji gentleman 🐒
Mkuu wewe ndiye unayepotosha watu, kwa taarifa yako Magufuli aliwahi kuiva akiwa ziarani Mtwara alikuwa ametishiwa na nani ukizingatia ulinzi aliokuwa nao!!!
 
Back
Top Bottom