LGE2024 Bumbuli: January Makamba ajitokeza kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1732716127744.png

Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba ameshiriki kupiga kura ya kuchagua Viongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji katika kituo cha Kwevizelu Kata ya Mahezangulu Mkoani Tanga leo Novemba 27,2024.

PIA SOMA
- LGE2024 - January Makamba: CCM tunajivunia na sera nzuri na viongozi wanakubalika
 
Anaongoza maiti huyo. Bumbuli wanamchukulia kama mungu mdogo.
Mpaka atakapo amua kuacha mwenyewe jimbo.
Kuna vijiji kule hata maji ya kunywa wanakunywa na wanyama lakini wapo nae tu ( mahezanguu ) anapotoka
Kuna watoto kule hata viatu hawana kwa umasikini uliotopea
Hospital huduma mbovu na mpaka leo watu wanabebwa kwa machela au vitanda
 
Na yeye ni Bilionea wa kutupwa 😃

Ukisema hivi majitu majinga, mapumbavu na manafiki yatakuletea Yale maswali ya kisheria ya kizamani tuliyorithi kwa mabeberu ambayo hata wao wameshasahau Kama waliwahi kutumia… utasikia “Una ushahidi?!” “We uliambiwa na nani au ulimuona wapi?!” 😂😂😂

Afrika hii! 😳😂😂😂🙌🏾
 
Kama ulikuwepo mkuu
 
Back
Top Bottom