Bumbuli: Ng'ombe wa Mayele ni maarufu kuliko wasemaji wa timu nyingine za Ligi Kuu

Nilijua utaweka picha ya ng'ombe mwenye kideri unamuweka bumbuli yanga mnafanya nchi ionekane haina viongozi ila mungu akipenda mwakani tunaenda wote CAF tutaona jeuri zenu.
 
Manara aliwahi kusema huko utopwinyoni mwenye akili ni Sunday na Jk[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilijua utaweka picha ya ng'ombe mwenye kideri unamuweka bumbuli yanga mnafanya nchi ionekane haina viongozi ila mungu akipenda mwakani tunaenda wote CAF tutaona jeuri zenu.
YANGA sio tu tunataenda CAF...tunaenda kuchukua ubingwa wa CAF
 
Tofauti ya Mbumbuli na uyo Ng'ombe ni kwamba Mbumbuli yeye uingia chooni na kujitawaza lkn akili ya kufikiria wamelingana so hkna cha ajabu hpo
 
Back
Top Bottom