Bumbuli: Ng'ombe wa Mayele ni maarufu kuliko wasemaji wa timu nyingine za Ligi Kuu

Tofauti ya Mbumbuli na uyo Ng'ombe ni kwamba Mbumbuli yeye uingia chooni na kujitawaza lkn akili ya kufikiria wamelingana so hkna cha ajabu hpo
Mbna una hasira mkuu???
 
Huyo Ng'ombe amekuwa promoted na mashabiki wa Simba bila kujua.
 
Mwisho tumeona umuhimu wa ng'ombe ili mtu wetu asitoke patupu
 

Attachments

  • FB_IMG_16565661756105898.jpg
    56.8 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…