Pre GE2025 Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama

Pre GE2025 Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Intricate

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
56
Reaction score
162

Wananchi wa Bumbuli mkoani Tanga wamechukizwa na tabia ya mbunge wao January Makamba kuwapa ma draft kwa ajili yakuchezea wakati barabara ni mbivu na huduma zingine nizashida sehemu hiyo.
 
Kipara amewaona nyie haziwatoshi ndio maana kawaletea ubao mpoteze muda.

Yeye hapo akiwa UK kwenye chumba cha binti yake aliyempeleka kupata elimu bora na kuwaachia vyuo vyenu vya wanyonge.

Hapo dogo atachapa shule tu hawazi habari ya deni la bodi ya mikopo, maji kukatika akimbizane na madumu, internet kutokuwepo, umeme kukatika yani shule na kula good times tu.

Hadi hapo hamjui mmeletewa ubao wenye picha yake kwa sababu gani?
images - 2025-01-07T160616.478.jpeg
 
BUMBULI ya siasa na CCM aisee tunaoishi na kufanya kazi hii halmashauri tuna roho ngumu sana maana hii halmashauri ni ya kiboya sana imejaaa siasa za CCM watendaji kila siku kuhamishwa vituo vya kazi Kwa sababu ya siasa za za madiwani na mkurugenzi,yaani January ndo maana hapati shida kuwaongoza wasambaa anashinda zake town tu akiona uchaguzi unakaribia anajileta kupewa KURA zake tu .tunaojua kinachoendelea BUMBULI ngoja tunyamaze tu.
 
This year we will see a lot
Wasenge sahivi wanapambania vyeo vyao tu na wengine wapo ziarani ni siasa tupu na wanahutubiaga vitu chenga tu na wasivyovifahamu kisa sifa za kushangiliwa na wananchi.
 
Wasenge sahivi wanapambania vyeo vyao tu na wengine wapo ziarani ni siasa tupu na wanahutubiaga vitu chenga tu na wasivyovifahamu kisa sifa za kushangiliwa na wananchi.
Na utashangaa wanapita bila kupingwa eti.
 
Back
Top Bottom