Pre GE2025 Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama

Pre GE2025 Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wananchi wa Bumbuli mkoani Tanga wamechukizwa na tabia ya mbunge wao January Makamba kuwapa ma draft kwa ajili yakuchezea wakati barabara ni mbovu na huduma zingine nizashida sehemu hiyo.
 
Back
Top Bottom