Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nguvu ya vyombo vya dola.Wapumbavu nyie
CCM ipo sana na Itadumu sana
Mna wafuasi Million 15 wap nyie kenge
Mbowe alikuloga
Nguvu ya Umma vp kijanaKwa nguvu ya vyombo vya dola.
AmenIfutike na kuzikwa kabisa....
Kama ni hivyo kinachokuliza nini ?Sura zenyewe zinaongea mengi zikionyesha ni watu waliojikatia Tamaa kabisa na hawana matumaini ya aina yoyote ile na Sacco's ya mbowe.hapo wamekuja kupoteza muda na kupiga porojo halafu kila mtu anajirudia nyumbani kuendelea na kazi zake.hii ni baada ya kugundua kuwa chama ni mradi wa familia kutafunia pesa halafu wao wanachukuliwa kama makasuku na manyumbu wa chama.
Mjinga poyoyo!Wapumbavu nyie
CCM ipo sana na Itadumu sana
Mna wafuasi Million 15 wap nyie kenge
Mbowe alikuloga
Acheni kuendesha chama kihuni huni.Kama ni hivyo kinachokuliza nini ?
Hawa wahuni dawa yao ni SabayaAcheni kuendesha chama kihuni huni.
Haya ndiyo yanayotakiwa yawe yanatokea kila sehemu ndani ya nchi hii kwa wakati huu na kuendelea mbele.Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA) , Huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo .
Mkuu nyumba nzuri Kyela kuelekea Kilwa kwa akina Koroso zinaishia Mikumi njia panda ya Kapwili.Kuanzia Kapwili,Kajunjumele Hadi Kilwa ni unapita mashamba ya mipunga,labda upite Barbara ya Ipyana ndo Kuna nyumba nzuri kidogoMbona mimi nafahamika vizuri tu ! Njoo Kyela kijiji cha Kajunjumele , uliza tu yule mwanachadema mwenye jumba nzuri kuliko nyumba ya Mkuu wa wilaya , watakuleta hadi kwangu
japo mabwege wenzio wamejaribu sana kuniloga lakini Wamekwama , labda ujaribu wewe
Ila wewe ni "CHAWA"? Mbona inasikitisha sana!NB: Sina chama
Kuna aina ya mgando katika mawazo ya aina hii.CCM siyo ya kuondoka leo, jipangeni kuongeza wabunge, madiwani, etc
Ukitaka kujua hali inayo watisha sana hao watani wako, hata humu jukwaani; soma wanayo andika kuhusu mada yako hii.Hivi ndivyo ilivyokuwa
Kama unadhani hivyo muulize Mwendakwao yalomkuta na huyo Sabaya mwenyewe!Hawa wahuni dawa yao ni Sabaya
Njia pekee ya kuimaliza ccm ni kuifutilia mbali kila mahali , Polisi ndio oganaizesheni ya ccm ?Hii ndo hudhihirisha kwamba CHADEMA kumejaa wapumbavu wengi!
Chama hakina organization wala wanachama wa kueleweka ktk ngazi mbalimbali lakini wakikutana kidogo tu utasikia utumbo kama huu wa kuifutilia CCM mbali!!
Jengeni taasisi imara inayoaminika na acheni siasa za upepo na matukio!
Nawasoma sana , japo wako watatu tu wanabadisha id , Ni hivi , sisi tushaamua kuwafuta kila mahali wabaki na viongozi tu .Ukitaka kujua hali inayo watisha sana hao watani wako, hata humu jukwaani; soma wanayo andika kuhusu mada yako hii.
Hakuna jambo linalotishia zaidi ya hali hii huko ndani ya CCM. Ikiwa hivi nchi nzima utaona mchecheto utakaowashika huko.
Sabaya huyu huyu aliyekuwa analia Mahakamani ?Hawa wahuni dawa yao ni Sabaya
Binafsi nitaridhika; hata kama szisomi au sisikii habari za kazi inayoendelea huko 'site' kimya kimya, na huku akina Mbowe wakiwa kama hawapo.Nawasoma sana , japo wako watatu tu wanabadisha id , Ni hivi , sisi tushaamua kuwafuta kila mahali wabaki na viongozi tu .