ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Sasa kuruhusiwa kwa Huo Mmoja ndio justification kwamba Mikutano ya Upinzani haizuiliwi??Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Inawezekana...ila hizo picha unaziamini...Kama sijakosea nafahamu wewe ni professional photographer piaHuyu binti ni jembe kweli kweli
Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Bara, akafanyie wapi mkutano kueneza chama chake cha CHADEMA?Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Ile barua ya Tunduma uliiona au unajipofusha macho, hivi kama nyie wazee mnajifanya hamuoni itakuaje kwa vijanaSafi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Lini utaacha unafikiSafi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
CHADEMA si inakufa.Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili
P
Huyu wa kumpuuza tu. Lengo lao huwa ni kututoa kwenye mstari ili hoja isijadiliwa, tuishie kujadili vioja vyao kama...angalia jinsi POLISI walivyojizatiti kwa SILAHA.
..unaweza kudhani labda wabunge wa CDM ni magaidi.
Cc Mzee Mwanakijiji
Mkuu, kuna kituko kinaendelea hapa nchini huwezi amini. CCM itashinda tu sehemu nyingi sana.Wamejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura 2020 ? Hebu tuanzie hapo kwanza !
Weka hapa JF ushahidi! No blah blah ! Please!Mkuu, kuna kituko kinaendelea hapa nchini huwezi amini. CCM itashinda tu sehemu nyingi sana.
Kila manispaa/halmashauri imeagizwa kuwaagiza wakuu wa shule za sekondari za serikali kuorodhesha wanafunzi wote wenye umri kuanzia 18 na wale watakaofikisha umri huo kabla ya Oct.
Orodha ioneshe taarifa zote muhimu za mpiga kura.
Kwa hiyo yawezekana kura zikapigwa mapemaa.
Tuangalie kura zetu tutazilindaje.
ABC ZA 2020, kumbe siyo kweli kuwa wanakatazwa kufanya mikutano?!Wanabodi Salaam!
Sina maneno mengi tazameni huu mtiti halafu Magufuli anasema anaweza kuua Upinzani Tanzania,
_____