Wabunge wa upinzani wanaruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa nje ya majimbo yao?Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Ushahidi kukuwekea mimi utasubiri sana ila muda ukifika utauona ushahidi kwa vitendo.Weka hapa JF ushahidi! No blah blah ! Please!
Ushahidi kukuwekea mimi utasubiri sana ila muda ukifika utauona ushahidi kwa vitendo.Weka hapa JF ushahidi! No blah blah ! Please!
Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili
PMbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Wanabodi, Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio kubwa la ushujaa mkubwa katika medani za siasa. Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya...www.jamiiforums.com
Kila siku mnaimba CDM inakufa, kisa Mashinji kaenda CCM, leo wote mmebadilika, eti huyu binti ni jembe, mwingine kudos!, mkae mkijua CDM ina majembe wengi tu zaidi ya huyo, na hapo mmewabana kila siku kesi mahakamani, wakiwa huru kufanya siasa sijui mtajificha wapi!Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Hizo ndizo tunasema ramli chonganishi ! JF is a platform for great thinkers plz ! Give us a clue of what you are propagating!Ushahidi kukuwekea mimi utasubiri sana ila muda ukifika utauona ushahidi kwa vitendo.
Na wewe umeliona? Huyu bwana akiulizwa swali anarefer bandiko lake, akisifia ni kwa kurefer bandiko lake.MBWA WEWE! NDIO MAANA UNA ONGEA ENGLISH YA KUUNGA UNGA. KAMA ENGLISH HAIPANDI TUMIA KISWAHILI UTAELEWEKA VIZURI TUU.
UNABOA KISHENZI HUWEZI KUJIBU HOJA BILA KUTU WEKEA MABANDIKO YAKO???? KWANZA MABANDIKO YAKO YANA BOA MBWA WEWE
Mmh magufuli akiona hii, bulaya atakuwa salama kweli?Wanabodi Salaam!
Sina maneno mengi tazameni huu mtiti halafu Magufuli anasema anaweza kuua Upinzani Tanzania,
_____
Acha uboya Mkuu. Kwani huoni mazingira yalivo kisiasa kwasasa Tz?Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Kama wanafunzi watakuwa likizo inamaana wataingiza kula kutoka kusikojulikana?Mkuu, kuna kituko kinaendelea hapa nchini huwezi amini. CCM itashinda tu sehemu nyingi sana.
Kila manispaa/halmashauri imeagizwa kuwaagiza wakuu wa shule za sekondari za serikali kuorodhesha wanafunzi wote wenye umri kuanzia 18 na wale watakaofikisha umri huo kabla ya Oct.
Orodha ioneshe taarifa zote muhimu za mpiga kura.
Kwa hiyo yawezekana kura zikapigwa mapemaa.
Tuangalie kura zetu tutazilindaje.
Mungu ibariki ChademaMkutano wa Mhe. Esther Bulaya Mbunge wa Bunda Mjini (Kiboko ya Wasira) akizungumza na Wananchi wa Jimbo lake hii leo.
Like Kama unamuelewa Komandoo wa Wasira.
Endeleeni kujidanganya kuwa upinzani umekufa sisi kwetu ni vitendo tu. View attachment 1366576
In God we Trust
Hapa ndipo jamaa anaumwa tumbo la kuharisha hataki mikutano ya hadharaHuyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili
PMbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Wanabodi, Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio kubwa la ushujaa mkubwa katika medani za siasa. Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya...www.jamiiforums.com
That's the only limit I can reach so far for now, exercise your little patience till thenHizo ndizo tunasema ramli chonganishi ! JF is a platform for great thinkers plz ! Give us a clue of what you are propagating!
Duh.. !, sii mchezo!.Mkutano wa Mhe. Esther Bulaya Mbunge wa Bunda Mjini (Kiboko ya Wasira) akizungumza na Wananchi wa Jimbo lake hii leo.
Like Kama unamuelewa Komandoo wa Wasira.
Endeleeni kujidanganya kuwa upinzani umekufa sisi kwetu ni vitendo tu. View attachment 1366576
In God we Trust
Siku atakaporejea CCM mtuwekee tena hizi picha!Mkutano wa Mhe. Esther Bulaya Mbunge wa Bunda Mjini (Kiboko ya Wasira) akizungumza na Wananchi wa Jimbo lake hii leo.
Like Kama unamuelewa Komandoo wa Wasira.
Endeleeni kujidanganya kuwa upinzani umekufa sisi kwetu ni vitendo tu. View attachment 1366576
In God we Trust