Bunda Mjini: Tutamfuata Lissu chama chochote kama atadhulumiwa

Bunda Mjini: Tutamfuata Lissu chama chochote kama atadhulumiwa

Newforce

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
430
Reaction score
708

Hakika Umma wa Watanzania na Mungu wa Mbinguni wako na Lissu,

Mbowe ajitafakari sana kulinda heshima yake kidogo aliyosalia nayo atangaze kujiondoa tu kwa heri bila kukigawa chama
 
Kwa nini huyu lissu tusimpe tu hadi U-RAIS wa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Kanda ya ziwa, kanda ya kati, kusini kote ni Lissu. Magharibi wanazigawana. Pwani na kaskazini Mbowe
 
Njoo hapa el shopping uchukue heineken kadhaa kwa maneno hayo peke yake.
 
Back
Top Bottom