Bundesliga exclusive on startimes only pia kudhamini timu moja vpl

Bundesliga exclusive on startimes only pia kudhamini timu moja vpl

StarTimes Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
260
Reaction score
141
Habari zenu!

kwa wale wapenzi wa soka, Startimes tunazidi kuwaletea uhondo ambapo sasa tumepata EXCLUSIVE right kuonyesha BUNDESLIGA kwa nchi za kiafrika kwa miaka zaidi ya mitatu.

Startimes kwa kutambua mapenzi ya soka kwa watanzania na waafrika kwa ujumla imesaini mikataba hiyo mapema mwaka huu. pia startimes itatoa nafasi mbalimbali kwa Watanzania kwenda UJERUMANI kutazama mechi mbalimbali.

Katika hatua nyingine STARTIMES inatarajia kutoa udhamini kwa timu moja kubwa inayoshiriki VODACOM premier league hapa tanzania. Hivi karibuni tutatoa jina la timu hiyo.

Startimes kwa sasa wapo kwenye mazungumzo LIGI YA HISPANIA na tunategemea soon itapatikana katika king'amuzi cha startimes

KUMBUKA BUNDESLIGA ZITAONYESHWA MECHI ZOTE BILA KUACHA HATA MOJA, TUTATOA RATIBA ZA MECHI ZOTE NA CHANEL ZITAKAZOONYESHA.

Kwa maelezo unaweza tembelea http://www.premiumtimesng.com/sport...transmission-deal-with-german-bundesliga.html
 
Hongereni sana kwa hatua hiyo mkiweka na ligi ya Hispania mmenipata.
 
hii itawaongezea wateja wengi sana biashara ushindani najua uchumi wa wachina wakiamua wanaweza watuondolee mkoloni dstv.ni bora uwe na tozo la kawaida ukapata wateja laki moja kuliko kuwa na tozo kubwa na wateja elfu moja
 
Uo ndo ushindani wa kibiashara unaotakiwa sasa....lakini kabla ya ilo muimarishe muonekano wa picha na ipunguze kuganda ganda kule..all in all nyc work
 
Hapo mmeenda na interest za wengi mgeongezea na Epl.
 
Epl ndo league ya dunia, ht mtt mdogo anyezaliwa anaijua so ingekuwa vizuri zaidi, suggestion
 
Back
Top Bottom