Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Hyu ana shingo kama feniHuyu nae ni mbabe wa koboko.Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua.Yanawatafuna balaa.Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake.Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina ila ni potential sana
Daah aiseeeee et FundiKweli Mungu fundi
tuoneshe video wakipambana na kobokoHuyu nae ni mbabe wa koboko. Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua. Yanawatafuna balaa. Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake. Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina ila ni potential sana.
View attachment 2946645
Weka video akimtafuna huyo koboko tuoneHuyu nae ni mbabe wa koboko. Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua. Yanawatafuna balaa. Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake. Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina ila ni potential sana.
View attachment 2946645