Bundi ni muhimu sana kwa wakulima

Bundi ni muhimu sana kwa wakulima

Sema ana extraordinary ability ndo maana wengi wanamkataa.
Ila Mungu hakuumba kilicho kinyonge, kumkataa kwenu ndo kunawafanya wanaojua umuhimu wake wamtumie kwa mabaya ndo maana mnamuona mbaya ila kosa si lake hata we unaweza kumtumia kwa mazuri kama professor wa SUA alivyoeleza.
Japo anatisha sijui kwanini namkubali afu namuona kiumbe poa tu regardless of public sentiment
 
Back
Top Bottom