Bundi Nyumbani Kwangu

Kawaida sana.
 
"ame chill kwenye fisher board"! Kinekhe ngosha! Sasa haya mambati mapilipili na masamaki yakhe?
Acha ujinga. Nyumba yangu ya mbele ya wapangaji ana chil kwenye PVC sijavisha bado

Anyway HMV, nina santuri zake. .
 
Si yalifukuzwaga kwenye lile li mbati li SGR kule Morogoro.
 
Tulikuwa tunaumwa familia nzima mimi, mke na watoto. Ila bundi wameanza kuja kabla ya kuumwa

Hii ni pattern flani nawaona. Shida ni kuwa wana rangi tofauti ,hakuna bundi anayefanania mwenzake
Mkuu jitahidi sana kuepuka hofu, hao viumbe wapo na wanapaswa kuishi kama unavyo ishi wewe na familia yako. Delete fikira mbaya na mawazo mabaya uliyosikia na kuhadithiwa kuhusu bundi na imani nyingine potofu.
 
Bundi ni ndege anaye Fanya shughuli zake usiku. Hufuata panya na viumbe wengine Kwa ajili ya chakula chao na hupendelea kuvizia wikiwa juu ya nyumba. Macho ya bundi yana uwezo wa Kuona usiku. Bundi hutumia sauti au mlio wake Kwa ajili ya kuwasiliana na wenzie, bundi wapo wenye rangi tofauti , tujifunze kutambua tabia za bundi na viumbe wengine Ili kuondokana na Imani potofu
 
Alisimama kwenye dish la azam anachungulia durishani chumbani kwangu. Sikuwa nimelala nilichoona mwanzo ni reflection ya taa, ana sura imekaa kama ❤️ . Ananiangalia kwa kunichunguza

Nimeona nilete uzi kwa sababu nimeshtuka jinsi alivyokuwa ananitazama
 
Hupendi Bundi!? Kwenye kipindi changu cha DSTV huwa nawatumia sana kujua tabia za wanyama

"BUNDI hataki kusema ukweli kuwa analipwa mshahara mkubwa Serikalini na Malupulupu manono kila saa na siku nzima" - Muda wote ni Kazi ya Bundi tu
Au tuanze kwenye hizo kazi za Bundi wanahitaji watu wa aina/tabia gani kufanya nae kazi sana sana!?
đź‘‘ Upole au Ukali
đź‘‘ Ukarimu au Ukatili
đź‘‘ Muoga au Jasiri
đź‘‘Wanaocheka au Wanaonuna
đź‘‘ Wenye Ndugu au Wasio na Ndugu
đź‘‘Wenye Fedha au Masikini
đź‘‘WafanyaBiashara au Wafanyakazi
đź‘‘ Uvivu au Uchapakazi
đź‘‘ Kufuata utaratibu uliopo au Kufuata utaratibu utakaokuja
đź‘‘Wafugaji au Wakulima
đź‘‘Wanaopenda Dini au Wapagani
đź‘‘Wanaopenda Starehe au Wasiopenda Starehe
đź‘‘Wabunifu au Wasio wabunifu
đź‘‘Wasomi au wasiosoma
Hivyo yaani
Yesu ulipigwa sijui walilidhika na ukweli uliowapa

 
Bundi ni ndege wa kawaida tu baadhi ya maeneo wanaliwa. Inaonekana nyumbani kwako ni sehemu tulivu sana mchana kunakuwa hakuna watu ndio sababu wanapatikana hapo.

Lakini pia itategemea aina ya paa ulilonalo. Kuna yale mapaa yenye ventilators huwa bundi wanatengeneza makazi huko. Hivyo kama nyumbani kuna utulivu mchana tegemea kuwaona kwa muda mchana. Hakuna la ajabu hapo.
 
Kuna mtu au mnyama anakaribia kufa kama sio kwako nyumbani za majirani

Bundi ana uwezo wa kunusa na kujua seli zinazokaribia kufa za mnyama au binadamu
 
Hapo kwako kuna panya wengi au Kuna sehemu Ina mazingira wanayo penda bundi kuweka makazi hasa kwenye dari au kuna miti au magofu.
Hawana madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…