Virus vya Ebola hii ni hatari zaidi ya ile Ebola iliyozoeleka. Je Serikali inajiandaa kukabiliana nayo! Je mwananchi wa kawaida katika family level tunajiandaa na hii new reality? Kuelekea 2029 tutegemee matukio ya kushangaza sana na ku disrupt mwenendo wa kawaida wa maisha ya mwanadamu. Hivyo, Serikali na vichwa vya familia huu si wakati wa kupoteza rasilimali fedha zetu kwenye mambo yasiyo ya msingi ati tu kwasababu ya publicty au umaarufu au kukomoa mtu fulani.
Jionee video
View: https://youtu.be/9HBiX964IA4?si=r-SgR21d6R-jiJ9f
Jionee video
View: https://youtu.be/9HBiX964IA4?si=r-SgR21d6R-jiJ9f