Bunduki haitoshi

Bunduki haitoshi

Ndugu zangu wana jf,mi kiukweli nataka nipate bunduki kubwa na ndefu, maana kwa nguvu kako fresh.
Nimejaribu kutumia dawa za kimasai na nyingine lakini haibadiliki.
Mwenye kujua dawa yenyewe naomba anipe maelekezo ama adress niweze fanikia.

Ni-PM nikupatie mzigo, kadri utakavyoona inafaa. Ila kaa tayari kudharirika umri ukisonga mbele kidogo. Nguvu ya kuushikilia mzigo inaweza kupungua ikawa shida tena. Mimi mzigo wangu niliukadiria vizuri na nilimuuliza bibie kama unamtosha kabla sijatumia dawa. Karibu!
 
Ridhika na bundiki yako achana na bunduki za kichina, anaglia wenzake waliotafuta silaha zingine za kutegea wanyama. Ziliwazidi uwezo!
 
Ha ha haaa umiacha hoi vita ni vita ilimradi ushindi!! ngoja nikuulize kwanza uliyeomba msaada una soksi zenye elastic nzuri tukupe dawa? ila suala la kuvaa kaptura halitakuwepo tena zako zitakuwa suruali tu.
sio lazima kutumia bunduki peke yake,kama haitoshi tumia nyenzo nyengine kama mkuki,jambia mweeh :A S 13::A S 13:
 
huu ushauri wa roselyne1 akichanganya na aina ya mwondoko wakati wa kuwinda hakika
atamgalagaza myama

sio lazima kutumia bunduki peke yake,kama haitoshi tumia nyenzo nyengine kama mkuki,jambia mweeh :A S 13::A S 13:
 
Ndugu zangu wana jf,mi kiukweli nataka nipate bunduki kubwa na ndefu, maana kwa nguvu kako fresh.
Nimejaribu kutumia dawa za kimasai na nyingine lakini haibadiliki.
Mwenye kujua dawa yenyewe naomba anipe maelekezo ama adress niweze fanikia.





Ni PM nikupe ujuzi wa kuitumia bunduki yako na hata kama ni ndogo kama upele itatosha tu,ridhika na ulichojaaliwa na mwenyezi,we unataka limzigo kwani unaenda kupanda punda??
 
nonsense.....poteleeni mbali huko.
 
Dawa zinazosadikika kuwa za Kichina, maarufu kwa jina la 'mchina' na zinazoaminika kutumiwa na baadhi ya wanawake ili kukuza makalio yao, zimezua balaa kwa mkazi mmoja wa jijini Dar Es Salaam.*Tukio la kijana Gasper Honza, mkazi wa Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam, mengi yameibuka baada ya kuelezwa kuwa, nyeti hiyo inazidi kukua.*Bado imesisitizwa kwamba, kukosewa kwa dozi ya ‘hipson’ ambayo ni maalum kwa ajili ya kukuzia makali ndiyo chanzo cha nyeti hiyo kugeuka ‘zigo’ la kilo 10.*Katika tukio hilo, Honza alikaririwa na gazeti moja la kila siku akielezea mkasa mzima kuwa alifanya uamuzi huo baada ya kutelekezwa na wanawake watatu kutokana na tatizo hilo, hivyo alitaka kuinusuru ndoa yake na mke wa nne.Alisema kuwa, alitumia dawa hizo baada ya kupata ushauri kutoka kwa rafiki yake wa karibu aliyemtaja kwa jina la Sebastian Mkwema ambaye aliwahi kuwa na tatizo kama hilo.*“Mkwema aliniambia nimpe elfu 30 ili kupata dawa ya kukuza nyeti zangu, siku tatu baadaye aliniletea, nilianza kupaka na kuona nyeti zikiongezeka, nilipata furaha ya kuinusuru ndoa yangu.*“Kwa bahati mbaya nilikosea masharti, ilikuwa nipake kwa muda wa siku mbili tu, mimi nilitumia wiki nzima ambapo matokeo yake ni kama unavyoona sasa (huku akionesha nyeti zake) ni mzigo mkubwa, hata suruali sivai na tendo la ndoa sifanyi.“Kazi nilishaacha tangu Septemba mosi, mwaka jana,” alinukuliwa.*Kwa upande wake, mke wa Honza, Nancy Kilungi, ambaye alimtelekeza mumewe baada ya nyeti hizo kuvimba alinukuliwa akisema: “Ndugu yangu ndoa ni unyumba …nitaishije? Hakuniambia tatizo lake tangu awali na alishakimbiwa na wake watatu, mimi ni wa nne.*“Alikuwa na ‘mashine’ ndogo kama kidole kidogo cha mkononi, tulishahangaika sana hadi kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio,” alisema.*Ilielezwa kwamba, Mkwema ambaye kwa sasa amehamia visiwani Zanzibar, alikiri kumshauri Honza kutumia dawa hiyo ambayo alidai yeye ilimsaidia na sasa ndoa yake ina amani: “Hee ndoa yangu ilikuwa inawaka moto. Mke wangu alikuwa anataka talaka, nilikosa usingizi, lakini Mungu si Athuman… jamaa fulani alinishauri kutumia ‘hypson’ na sasa mambo si mabaya.”*Kwa upande wa familia ya Honza walisema jambo hilo ni la kusikitisha kwani amepoteza uwezo wa kufanya kazi na amekuwa mtu wa kukaa nyumbani tu.*“Yale yale ya akina Michael Jackson. Mungu anakuumba hivi, wewe unataka hivi na vile… tunafanya utaratibu wa kupata matibabu,” alisema mmoja wa wanafamilia hao.*Risasi lilipopiga simu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, mmoja wa watu aliyejitambulisha kwa jina la John Rumisha alitoa onyo kali kwa wale wanaopendelea kutumia dawa za kubadili maumbile kwani madhara yake ni makubwa zaidi ukilinganisha na gharama za dawa hizo.*Alisema kuwa, kumekuwa na ongezeko la watanzania wanaotumia dawa za Kichina kuongeza viungo mbalimbali vya mwili, lakini madhara yake ni makubwa kuliko mtu angeamua kuishi kama alivyoumbwa.*Wiki kadhaa zilizokatika, gazeti ndugu na hili, Ijumaa liliripoti habari ya mwanamke aliyekuwa akilalamika kuteswa na makalio ya Kichina ambaye alilenga kukuza ‘hips’ zake, lakini baadaye alijikuta akiharibika vibaya mwili wake.*Katika siku tulizonazo kumeibuka dawa ambazo zinaelezwa kuwa ni za Kichina ambazo baadhi ya watu waliopata kuzitumia wamekuwa wakikiri kupata madhara makubwa kama vile ‘kalio’ moja kuwa kubwa kuliko jingine, kujazia zaidi chini kuliko juu na mwili kufa ganzi.*My Take: Kijana usimkosoe Muumba wako, atakuadhibu
*Walah acha nibaki na kipenseli chaaaaaaanguu...!!Wachina watatuuwa,pikipiki/bajaji zinamaliza watu na dawa zinawalemaza watu jumlaaa...dooooh,huko siiiikoo!!!
 
We bora ukae na kibastola chako kuliko kutaka bunduki unaweza ua hata tembo ukilenga sehemu husika, hivi tembo akilengwa jicho hafi?
 
Kata kipande cha mti wa mbuyu changanya na mavi pamoja na mkojo wa mtu mwenye bunduki kubwa alafu kula kutwa mara tatu kwa muda wa wiki moja
 
hacheni mzaa wengine ni vibamia na nusu pencil! uku2mia bunduki lazima anaye2mia nawe lazima ukizamisha aseme husinitoe kzaz!
 
Uwe unakula ndizi kisukari tano kilasiku na Tikiti lote bila kubakisha hata kipeke kwa muda wa miezi mitatu, utakuwa kama unavotaka.
 
Dah kwa hapa pagumu...Ridhika na Mungu alivyokuumba tu
 
Mmh, hii kadhia nayo imeongezeka, kila kona ya Dar mganga wa kuongeza ukubwa wa pua.

Jamani ukubwa wa pua si wingi wa kamasi lol
 
Habari yako bwana b52, hebu tumsaidie kijana mwenzetu kwa hali na mali ili awe na Gobole kabisa, naona ana SMG...

Sasa ukimpa gobore atakuwa anatoa risasi moja tuu! Si itakuwa balaa?
 
kaka ungefafanua kidogo iko size ngapi sai na wataka iwe saizi ngapi baadae ila kama vipi tafuta mnyama utakae weza muua na iyo bunduki
 
Back
Top Bottom