The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kama taifa tuna hasara kubwa sana tena kubwa. Viongozi wenye busara na maono hawapo kabisa.
Chalamila alichoongea ni lugha ya hovyo kabisa ambayo haina weledi ndani yake. huwa anaropoka tu bila kujua hata anachoongea.
Kimsingi hawa watu wamejawa kiburi. yaani hawatafanywa chochote na yeyote hapo ndipo jeuri yao ilipojificha maana mapolice na Mahakama zote ni za kwao
Kweli aisee yule jamaa ni mwehu sema amekutana na serikali ya kikuda piaKwa mwendo wake naona familia yake itajuta kuzaa kichwa cha embe dodo
We kenge AMANI haipatikani ila kwa ncha ya upanga. Nyie nyumbu hamtabembelezwa ni chuma tu,Kama taifa tuna hasara kubwa sana tena kubwa. Viongozi wenye busara na maono hawapo kabisa.
Chalamila alichoongea ni lugha ya hovyo kabisa ambayo haina weledi ndani yake. huwa anaropoka tu bila kujua hata anachoongea.
Kimsingi hawa watu wamejawa kiburi. yaani hawatafanywa chochote na yeyote hapo ndipo jeuri yao ilipojificha maana mapolice na Mahakama zote ni za kwao
We mbwa una pa kukimbilia?hilo jamaa huwaga ni lizombi siku zote. Sijui kama hata ana pa kukimbilia siku mambo yakipinduka (na ni hivi karibuni) wenzake wana ma apartment Arabuni, Yeye sasa ...
Tatizo moja kubwa ni viongozi wenge kuongoza Kwa mabavu , ya kuwa watawala sui viongozi Kwa maneno ya ke BagonzaKama taifa tuna hasara kubwa sana tena kubwa. Viongozi wenye busara na maono hawapo kabisa.