Bunduki hatari ulimwenguni

Bunduki hatari ulimwenguni

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—•๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐˜‚๐—ธ๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ป๐—ถ
Bunduki hatari ulimwenguni ni Ak 47 ambayo iligunduliwa miaka ya nyuma na mtu mmoja kutoka nchi ya urusi anaitwa Mikhail Kalashnikov.

1_20241027_160635_0000.png

Wanasema Uvumbuzi ni kitu kizuri ulimwenguni haswa kwenye historia ya binadamu lakini baadhi ya vitu ambavyo vinavumbuliwa vinakua ni hatari Tena kwa watu.

Moja kati ya bunduki yenye kuleta madhara kutokana na Uvumbuzi wake mpaka Leo ni Ak- 47 ambayo maafa yake yalimpelekea mtu aliyegundua kuweza kujutia kwanini amegundua hiyo bunduki ya Ak 47 kwenye maisha yake.

3_20241027_160635_0002.png

Iligunduliwa mwaka 1947 na kuanzia kutumika 1948. AK 47 kirefu chake ni Automatic Kalashnikov 1947 lengo kubwa ni kutumika kipindi cha vita ya pili ya Dunia dhidi ya ujerumani.

2_20241027_160635_0001.png

walikua wanahitaji bunduki ambayo inaweza kufyatua risasi Moja Moja pia kwa wingi kwa haraka.

โ€ข Mikhail alifanikiwa kutengeneza hii bunduki kwani inatumika kwenye mazingira yoyote Yale magumu au rahisi kuanzia kwenye joto, baridi Kali , ukame au mvua.

5_20241027_160635_0004.png

Ni bunduki ambayo imesambaa ulimwenguni kote kutokana na nchi ya umoja wa kisovyeti kuweza kutoa kibali nchi nyingi kuandaa.

Sifa zake kwa ufupi tu ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ‘‰ Inatumia risasi zenye ukubwa wa 7.62ร— 39mm
๐Ÿ‘‰ Urefu wa mtutu wa Ak ni 415mm
๐Ÿ‘‰ Ina uzito wa 3.26 au 4 kilogramu
๐Ÿ‘‰ Kwenye magazine inapakia risasi 30 ๐Ÿ”ซ
๐Ÿ‘‰ Unaweza kupiga mpaka umbali wa kufikia mita 800 huku effective range yake ya mtoko wa risasi ni mita 400 effective range kabisa.

4_20241027_160635_0003.png

Imegawanyika sehemu kuu Tatu kitako cha bunduki , mwili wa bunduki pamoja na mtutu wa bunduki.

Ulikua unajua hii? Tuachie maoni yako ๐Ÿ‘‡

#AK47 #Bunduki #Fahamu #fahamuzaidi #bongotech255
 
Huo mzigo ndio umewafukuza wazayuni Lebanon๐Ÿคฃ!

Kama bunduki zingekuwa sawa na engine za magari basi AK-47 ingefananishwa na engine ya Land cruiser 1HZ ya mjapani๐Ÿ˜†. Both ni flawless machines ambazo zinapendwa sana na mwarabu.
 
Bunduki zote ni hatari kwa sababu zina lengo moja la kuua.

Hiyo ni bunduki ambayo imeua watu wengi na ni kwasababu tu iligunduliwa na kupendwa na kutumika kwa wingi miaka hiyo.

Makomandoo wa kisasa AK47 kwao inaweza kuwa 2nd aolu third choice kabisa
1730096463083.jpeg
 
Ak 47 siyo bunduki hatari ulimwenguni ila ni bunduki iliua watu wengi zaidi duniani, kwenye hatari zipo bunduki hatari Ak47 haifikii uhatari wa Light machine gun (LMG)
Ak 47 aifananishe kwa uhatari labda na SMG 56 au M16 rifle. Kumlinganishia na LMG( Brain supporters) ni zarau sana. Hili somo nakumbuka sikua na Usingizi kabisa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ak 47 siyo bunduki hatari ulimwenguni ila ni bunduki iliyouwa watu wengi zaidi duniani, kwenye hatari zipo bunduki hatari Ak47 haifikii uhatari wa Light machine gun (LMG)
Nadhani anamaanisha hatari Kwa impact iliyoleta mpaka sasa kwenye dunia yetu.
 
Unaweza kumiliki lakini mpaka polisi wapate taarifa zako kamili sababu za kumiliki, Afya ya akili nk
Kwa Tz Ak47 hairuhusiwi kumilikiwa na raia hakuna kibali hicho na ukikutwa nayo zama hizi kama una familia kesho yake watoto wako watakua wanaitwa watoto wa marehemu
 
Anaekwambia AK47 ni so powerful haelewi anaongelea nn mkuu, hiyo picha ya mwanajeshi hapo uliyoweka hiyo sio AK47 ni AKM,
AK 47 zilikuwa kama 1500 ambazo zikitumika kwa awamu ya majaribio na badae wakatoa 47 kwenye AK na kuanza mass production ya AKM na kutoa modern AK74 ambayo ni hii hapa
Screenshot_20241028-103444~2.png

Wakatoa AK103, AK104 AK105
kwasabu teknolojia na fedha ziliwabana warusi.

Screenshot_20241028-103317~2.png

Hii chini ni tofauti ya AK47 na AKM ukiangalia AKM ina shepu mchongoko mbele kama hiyo hapo aliyoshika mdau hapo juu tofauti na AK47 ambayo mbele haijachongoka

Screenshot_20241028-102622~2.png

Screenshot_20241028-103035~2.png

AK47 ni maarufu zaidi kwasabu ya ammunition, lakini ukiachana na assault AK47 hamna kitu sio multipurpose na inazidiwa hata na G3 kwenye precision shoot ila kwasabu nyepesi na haihitaji Sana military training ndiomana inapendwa, Automatic Rifle yenye bei kiduchu.

Uzuri wa AK47 unakuja kwenye recoil na stopping power, urahisi wa kutumia, uwezo wa kuvumilia hali mbalimbali inapohifadhiwa pamoja na joto, asilimia Hadi 50, AK imeundwa na mbao.

AK47/AKM watu wameshindwa kuelewa mpaka leo life expectancy yake na ndiomana zinauzwa nyingi tu kwenye black market, lakini China ndio namba moja kuuza Norinco Type 56 ambazo zipo nyingi kwenye nchi zetu, lakini sio original AK47 wala AKM.

asilimia zaidi ya 80% ya bunduki ulizoweka picha hapa ni copy ya AK47, Mana wachina wametawala kwasabu wanafanya biashara na nchi masikini, kama zakwetu.

fa_ar_akm_p03.jpg

Hiyo picha hapo juu nini AKM ambayo ilikuja kama mbadala wa AK47

Na hii hapa chini ni Copy ya AK47 ambayo ni Norinco Type 56 ambayo anatengeneza mchina na zimezagaa Africa.

images (1).jpeg

AK47 ilibadilisha Sana ulimwengu wa vita kwasabu inaweza tumika na mtu yeyote hata asiyekuwa military trained, ukimuelekeza tu kidogo chap ameelewa anatumia AK47, lakini kumbuka AK47 ilikuwa replaced na AKM ambazo kuna namna zinatofautiana,

Military trained person kwenye ulimwengu wa sasa hawezi tegemea AK47 kwasabu silaha nyingine accurate zipo ila kwasabu ya uchumi na uwingi kwenye black market ndiomana zimekuwa zikitumika Sana.
 
Attachments

  • main-qimg-eb74e2b988276e48bcff05ce15d6d517-lq.jpeg
    main-qimg-eb74e2b988276e48bcff05ce15d6d517-lq.jpeg
    13.8 KB · Views: 4
  • main-qimg-663d62cf81b5a228612b06d68a67eb91-lq.jpeg
    main-qimg-663d62cf81b5a228612b06d68a67eb91-lq.jpeg
    21.4 KB · Views: 5
Huu mzigo ni hatari sana. Niliuona Kalemie DRC kuna mwamba ex soldier alikuwa nao afu fresh tuu maisha yanaendelea. Congo kuna balaa aisee, mikwaju nje nje.
 
Ak 47 siyo bunduki hatari ulimwenguni ila ni bunduki iliyouwa watu wengi zaidi duniani, kwenye hatari zipo bunduki hatari Ak47 haifikii uhatari wa Light machine gun (LMG)
LMG na AK47 zina kazi tofauti mkuu, na kawaida kama kwenye platoon anawezashika corporal au sergeant, anaweza kuwa na support au man alone, hizi ndio wanapigaga kelele wanapokuwa full assault kwasabu inaweza haribu masikio.
 
๐—•๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐˜‚๐—ธ๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ป๐—ถ
Bunduki hatari ulimwenguni ni Ak 47 ambayo iligunduliwa miaka ya nyuma na mtu mmoja kutoka nchi ya urusi anaitwa Mikhail Kalashnikov.

View attachment 3136889

Wanasema Uvumbuzi ni kitu kizuri ulimwenguni haswa kwenye historia ya binadamu lakini baadhi ya vitu ambavyo vinavumbuliwa vinakua ni hatari Tena kwa watu.

Moja kati ya bunduki yenye kuleta madhara kutokana na Uvumbuzi wake mpaka Leo ni Ak- 47 ambayo maafa yake yalimpelekea mtu aliyegundua kuweza kujutia kwanini amegundua hiyo bunduki ya Ak 47 kwenye maisha yake.

View attachment 3136890

Iligunduliwa mwaka 1947 na kuanzia kutumika 1948. AK 47 kirefu chake ni Automatic Kalashnikov 1947 lengo kubwa ni kutumika kipindi cha vita ya pili ya Dunia dhidi ya ujerumani.

View attachment 3136891

walikua wanahitaji bunduki ambayo inaweza kufyatua risasi Moja Moja pia kwa wingi kwa haraka.

โ€ข Mikhail alifanikiwa kutengeneza hii bunduki kwani inatumika kwenye mazingira yoyote Yale magumu au rahisi kuanzia kwenye joto, baridi Kali , ukame au mvua.

View attachment 3136893

Ni bunduki ambayo imesambaa ulimwenguni kote kutokana na nchi ya umoja wa kisovyeti kuweza kutoa kibali nchi nyingi kuandaa.

Sifa zake kwa ufupi tu ๐Ÿ‘‡
๐Ÿ‘‰ Inatumia risasi zenye ukubwa wa 7.62ร— 39mm
๐Ÿ‘‰ Urefu wa mtutu wa Ak ni 415mm
๐Ÿ‘‰ Ina uzito wa 3.26 au 4 kilogramu
๐Ÿ‘‰ Kwenye magazine inapakia risasi 30 ๐Ÿ”ซ
๐Ÿ‘‰ Unaweza kupiga mpaka umbali wa kufikia mita 800 huku effective range yake ya mtoko wa risasi ni mita 400 effective range kabisa.

View attachment 3136895

Imegawanyika sehemu kuu Tatu kitako cha bunduki , mwili wa bunduki pamoja na mtutu wa bunduki.

Ulikua unajua hii? Tuachie maoni yako ๐Ÿ‘‡

#AK47 #Bunduki #Fahamu #fahamuzaidi #bongotech255
Kuna bunduki ambayo sio hatari kwa uhai wa mtu?
 
LMG na AK47 zina kazi tofauti mkuu, na kawaida kama kwenye platoon anawezashika corporal au sergeant, anaweza kuwa na support au man alone, hizi ndio wanapigaga kelele wanapokuwa full assault kwasabu inaweza haribu masikio.
Bunduki zote kazi yake ni moja kuua hamna kazi tofauti kati ya Ak47 na LMG ila uwezo ndo tofauti
 
Back
Top Bottom