Bunduki hatari ulimwenguni

Bunduki hatari ulimwenguni

Bunduki zote kazi yake ni moja kuua hamna kazi tofauti kati ya Ak47 na LMG ila uwezo ndo tofauti
Sheria za vita zinabadilika mkuu ndiomana silaha nyingi zinazuiliwa kutumika vitani, kwasabu majeruhi wanatakiwa wazidi idadi ya vifo baada ya vita kuisha, kwahiyo sio kila bunduki inayoua itumike vitani.
 
𝗕𝘂𝗻𝗱𝘂𝗸𝗶 𝗵𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘂𝗹𝗶𝗺𝘄𝗲𝗻𝗴𝘂𝗻𝗶
Bunduki hatari ulimwenguni ni Ak 47 ambayo iligunduliwa miaka ya nyuma na mtu mmoja kutoka nchi ya urusi anaitwa Mikhail Kalashnikov.

View attachment 3136889

Wanasema Uvumbuzi ni kitu kizuri ulimwenguni haswa kwenye historia ya binadamu lakini baadhi ya vitu ambavyo vinavumbuliwa vinakua ni hatari Tena kwa watu.

Moja kati ya bunduki yenye kuleta madhara kutokana na Uvumbuzi wake mpaka Leo ni Ak- 47 ambayo maafa yake yalimpelekea mtu aliyegundua kuweza kujutia kwanini amegundua hiyo bunduki ya Ak 47 kwenye maisha yake.

View attachment 3136890

Iligunduliwa mwaka 1947 na kuanzia kutumika 1948. AK 47 kirefu chake ni Automatic Kalashnikov 1947 lengo kubwa ni kutumika kipindi cha vita ya pili ya Dunia dhidi ya ujerumani.

View attachment 3136891

walikua wanahitaji bunduki ambayo inaweza kufyatua risasi Moja Moja pia kwa wingi kwa haraka.

• Mikhail alifanikiwa kutengeneza hii bunduki kwani inatumika kwenye mazingira yoyote Yale magumu au rahisi kuanzia kwenye joto, baridi Kali , ukame au mvua.

View attachment 3136893

Ni bunduki ambayo imesambaa ulimwenguni kote kutokana na nchi ya umoja wa kisovyeti kuweza kutoa kibali nchi nyingi kuandaa.

Sifa zake kwa ufupi tu 👇
👉 Inatumia risasi zenye ukubwa wa 7.62× 39mm
👉 Urefu wa mtutu wa Ak ni 415mm
👉 Ina uzito wa 3.26 au 4 kilogramu
👉 Kwenye magazine inapakia risasi 30 🔫
👉 Unaweza kupiga mpaka umbali wa kufikia mita 800 huku effective range yake ya mtoko wa risasi ni mita 400 effective range kabisa.

View attachment 3136895

Imegawanyika sehemu kuu Tatu kitako cha bunduki , mwili wa bunduki pamoja na mtutu wa bunduki.

Ulikua unajua hii? Tuachie maoni yako 👇

#AK47 #Bunduki #Fahamu #fahamuzaidi #bongotech255
Bunduki hatari zaidi ulimwenguni ni MDOMO/ULIMI.
Niulizeni ili nithibitishe dai langu.
 
Back
Top Bottom