menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
jamani wana jamvini naombeni nasaha zenu nina rafiki yangu ambae alinieleza kuwa bunduki yake imepinda kidogo kuelekea kushoto sasa alikua anauliza je kunatatizo? Coz ana tarajia kuvuta jiko na jamaa ni mlokole so mambo yetu yalee! Ndo anaenda kuanza ku Do!!!
Samahani kama nitakukwaza lakini bunduki isiyo ya kwako we unafaidika/kusumbuliwa na nini ? aje mwenyewe au kama yako kubali tu usaidiwe.jamani wana jamvini naombeni nasaha zenu nina rafiki yangu ambae alinieleza kuwa bunduki yake imepinda kidogo kuelekea kushoto sasa alikua anauliza je kunatatizo? Coz ana tarajia kuvuta jiko na jamaa ni mlokole so mambo yetu yalee! Ndo anaenda kuanza ku Do!!!
mmmh ahsanteni sana kwa ma ushauri yenu ya ukweli.