Bunduki imepinda

Bunduki imepinda

menny terry

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
509
Reaction score
670
Jamani wana jamvini naombeni nasaha zenu nina rafiki yangu ambae alinieleza kuwa bunduki yake imepinda kidogo kuelekea kushoto sasa alikua anauliza je kunatatizo? Coz ana tarajia kuvuta jiko na jamaa ni mlokole so mambo yetu yalee! Ndo anaenda kuanza ku Do!!!
 
jamani wana jamvini naombeni nasaha zenu nina rafiki yangu ambae alinieleza kuwa bunduki yake imepinda kidogo kuelekea kushoto sasa alikua anauliza je kunatatizo? Coz ana tarajia kuvuta jiko na jamaa ni mlokole so mambo yetu yalee! Ndo anaenda kuanza ku Do!!!

hakuna tatizo, mwambie a-dance according to the tune.

Pia mshauri aache kuvaa zile chupi za kubana za enzi za form 1 ikiwa kama bado anazivaa, aanzae kuvaa boxer. huwenda ikawa moja ya sababu....nawakilisha.
 
Ktk hivi vipindi vya usiku vya malavidavi, ipo siku nilisikia ikiongelewa topic hiyo. Kiukweli hakuna tatizo ila inakuwa bored kama imepinda sana. Pia Dr. alisema ipo dawa ya kutumia kuondosha tatizo hilo.
(Jina la Dr. na Radio na siku husika ya kipindi chake naweza kuvipata kama nitaanza tena kusikiliza).
Ushuhuda wa ya kwangu ilivyo sisemi coz naogopa kuja kuwa inawapenzi wake.
 
jamani wana jamvini naombeni nasaha zenu nina rafiki yangu ambae alinieleza kuwa bunduki yake imepinda kidogo kuelekea kushoto sasa alikua anauliza je kunatatizo? Coz ana tarajia kuvuta jiko na jamaa ni mlokole so mambo yetu yalee! Ndo anaenda kuanza ku Do!!!
Samahani kama nitakukwaza lakini bunduki isiyo ya kwako we unafaidika/kusumbuliwa na nini ? aje mwenyewe au kama yako kubali tu usaidiwe.

Back to the topic: ipake mafuta na kuikanda kwa dakika3-5 asubuhi na jioni,ishike mwanzo na mkono mmoja na mwisho na mkono mwingine uwe kama unai-sretch,ivute kuelekea kulia kwa dakika 1,ipigepige kwenye tumbo na mapaja kwa dakika3-5. Kabla hujafanya yote haya ikande na maji ya moto.Utaona mabadiliko makubwa baada ya wiki kadhaa kama utafanya daily x 2.
 
Msaada mzuri Mkuu. Aanze leo kufanya masag. Lakini awe makini asije akatowa ile kitu adimu, maana itamletea raha.
 
Mwambie zote ziko hivyo hivyo toka kiwandani. Manufacturer anatengeneza zikiwa zepinda, kwa hiyo atumie hivyo hivyo. Tena basi kwa kumwelesha, zilizopinda ndo zinapendwa zaidi na zinatema mzigo ile mbaya.
 
Inategemea imepinda vipi, kama ni shape ya ' L' hapo inaweza ikawa ni aina fulani ya ulemavu fulani . Lakini kama imepinda kutokea kwenye shina hapo ni rahisi kurekebisha. Unachotakiwa kufanya ni kuvaa chupi tight kwa wiki 8 hadi 10 ukihakikisha unaweka bunduki yako upande wa kulia (opposite direction). Kidokidogo utaona bunduki ikilelekea kati. baada ya hapo achana na chupi tight, vaa boxers.
 
mi naona hakuna haja ya kuiweka sawa kabla ya hata kuitumia. Pengine hiyo iliyopinda ndo ije iwe bora ktk kufikia lengo mchezoni kuliko iliyonyooka. Na ikiwa kutakuwa na haja ya kuinyoosha, atajuwa hapo baadae. Pia kama bunduki zilivyo tofauti, basi na zile zipo tofauti.
 
mmmh ahsanteni sana kwa ma ushauri yenu ya ukweli.
 
Back
Top Bottom