Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Mwanangu jielekeze kwenye hoja badala ya kutafutia kiki kwenye hoja husika. Kama huna la kusema si ufyate japo kidogo tena kistaafrika.Mmesha sahau ule ugaidi wenu wa wasiojulikana mpaka kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa lissu?
Kumbe kwenye hilo andiko lako kuna hoja? Mimi nilifikiri umeandika usichokijua?Mwanangu jielekeze kwenye hoja badala ya kutafutia kiki kwenye hoja husika. Kama huna la kusema si ufyate japo kidogo tena kistaafrika.
Mmesha sahau ule ugaidi wenu wa wasiojulikana mpaka kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa lissu?
Usiongee usilolijua au usilonauhakika nalo nikikuambia uthibitishe hilo unaweza toa ushahidi , na hapa unajidai umejificha kumbe si lolote.Mmesha sahau ule ugaidi wenu wa wasiojulikana mpaka kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa lissu?
Rudi kwenye mada. Haya yako fungulia thread yako mwenyewe uyaongelee.Mmesha sahau ule ugaidi wenu wa wasiojulikana mpaka kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa lissu?
Kwa nini huwa mnapenda kuharibu nyuzi za watu bhana?Mmesha sahau ule ugaidi wenu wa wasiojulikana mpaka kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa lissu?
Matukio kama Lissu yangekuwa mengi basi sasa ingekuwa yanatajwa matukio ya wengine ila naona hakuna hayo matukio na ndio maana hadi sasa Lissu ndio kabaki mfano asiye na mwenzie.Mmesha sahau ule ugaidi wenu wa wasiojulikana mpaka kufikia hatua ya kutaka kutoa uhai wa Lissu?
Suala la bunduki Marekani ni biashara za watu.Wanangu wana jamvi. Wamarekani ni watu wa ajabu sana. Wanasema kwenye nembo ya taifa lao IN GOD WE TRUST.
Ila kiukweli inapaswa iwe IN GUN WE TRUST. Wanapenda sana bunduki kiasi cha kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Wanachukia ugaidi wa nje lakini wanafanyiana ugaidi wa ndani kwa kutumia bunduki. Hapa hujaongeza ubaguzi wa rangi. Marekani inahitaji msaada kuondokana na ugaidi wa bunduki na utegemezi wake ukiachia mbali mapenzi ya mitutu.
Kwa sasa, tishio la bunduki ni kubwa kuliko hata corona. Rais Biden ameliita hili janga au pandemic kwa taifa.
Afrika inapaswa itoe msaada kwa Marekani.
Siku Serikali ikiamua kuingiza majeshi mtaani kupiga raia,ndio hapo umuhimu wa 2nd amendment utaonekana,rais watatoka na AR-15 kama zote kuja mtaani kupambana na jeshi.KATIBA BORA KABISA
Wamarekani wanatamba kumiliki bunduki kutokana na katiba yao kipengele cha kumi na tatu.
Hicho kipengele kinahusu haki ya raia kumiliki silaha kwa ajili ya kujilinda kutokana na maadui wa ndani na wa nje. Hawa maadui wanafafanuliwa kama ifuatavyo
Adui wa ndani
Hawa ni maadui kama majambazi, madictekta/tyrant. Haiingii akilini serikali kuweka udhibiti kwenye umiliki wa silaha hivyo kufanya raia wake kushindwa kujitetea pale wanapokutana na jambaxi au pale serikali inapokuwa rogue na kuanza kunyanyasa raia. Raia wakichoka mda wowote wanaliamsha
Adui wa nje
Hapa in case marekani imevamiwa na wanajeshi wa taifa lingine. Kuna watu huwa wanaponda Marekani kuwa haitaki vita ipiganiwe kwake anakuletea vita kwako sasa endapo nchi adui wa akajichanganya kupeleka wanajesh atashangaa kuona idadi kubwa sana ya raia wakiwa n silaa za kivita
Na wale wanaotupwa kwenye viroba kwaajili ya siasa, wanaotekwa jee na kuteswa, wanaofungwa kwenye magereza miaka zaidi ya 7 bila ya kesiMatukio kama Lissu yangekuwa mengi basi sasa ingekuwa yanatajwa matukio ya wengine ila naona hakuna hayo matukio na ndio maana hadi sasa Lissu ndio kabaki mfano asiye na mwenzie.
Na mwisho wake wanauwana waokwawao kama kuku saivi badala ya adui wa njeKATIBA BORA KABISA
Wamarekani wanatamba kumiliki bunduki kutokana na katiba yao kipengele cha kumi na tatu.
Hicho kipengele kinahusu haki ya raia kumiliki silaha kwa ajili ya kujilinda kutokana na maadui wa ndani na wa nje. Hawa maadui wanafafanuliwa kama ifuatavyo
Adui wa ndani
Hawa ni maadui kama majambazi, madictekta/tyrant. Haiingii akilini serikali kuweka udhibiti kwenye umiliki wa silaha hivyo kufanya raia wake kushindwa kujitetea pale wanapokutana na jambaxi au pale serikali inapokuwa rogue na kuanza kunyanyasa raia. Raia wakichoka mda wowote wanaliamsha
Adui wa nje
Hapa in case marekani imevamiwa na wanajeshi wa taifa lingine. Kuna watu huwa wanaponda Marekani kuwa haitaki vita ipiganiwe kwake anakuletea vita kwako sasa endapo nchi adui wa akajichanganya kupeleka wanajesh atashangaa kuona idadi kubwa sana ya raia wakiwa n silaa za kivita
Ok ulitaka kusema?Na wale wanaotupwa kwenye viroba kwaajili ya siasa, wanaotekwa jee na kuteswa, wanaofungwa kwenye magereza miaka zaidi ya 7 bila ya kesi
Huwezi kuwin vyote, katika huu ulimwengu lazima utoe sacrifice fulani hivi, iyo kuuwana ndo sacrifice yenyeweNa mwisho wake wanauwana waokwawao kama kuku saivi badala ya adui wa nje