Hapa kuna uchaguzi au upotevu wa pesa za walipa kodi?Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge.....
NAIBU SPIKA wa HALMASHAURI KUU ya ChamaBunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge
Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho Februari 11, 2022 kwa ajili ya Uchaguzi
View attachment 2114972
Waliojitokeza wote walilipiwa kila kitu na CCM, kuna mmoja anadaiwa chipsi kavu Dodoma alisahau kulipa.-Vile vyama vya upinzani vilivyojitokeza katika uchaguzi wa speaker mbona hawakujitokeza tena?
Mr TozoNi baada ya muda wa kuwasilisha jina la mgombea unaibu Spika wa Bunge la JMT kuisha leo Alhamis saa 10 jioni bila kutokea mgombea toka chama kingine zaidi ya wa CCM, Mussa Zungu!
Nawaza;
Hivi CCM hawajiskii vibaya kukosa tofauti kati ya Bunge na Halmashauri Kuu ya Chama chao? Tazama maneno kwenye picha hii!View attachment 2115329
Ni wanasiasa pekee wasioonea aibu tabia zaoBunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge
Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho Februari 11, 2022 kwa ajili ya Uchaguzi
View attachment 2114972
Huu ndio ukomavu wa democrasia, vyama vingine vyote vimeamua kutumia busara kutoteua wagombea kushiriki igizo jingine la uchaguzi wa Naibu Spika, kama walivyoshiriki igizo la uchaguzi wa Spika.Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge
Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho Februari 11, 2022 kwa ajili ya Uchaguzi
View attachment 2114972
Leo unawaita waigizaji kesho unaomba wakuteuwe kisha unaishia kupata kura moja wewe ni vuguvugu hata Mungu hapendi watu wa aina yenu ukiamua kula magi kula brooHuu ndio ukomavu wa democrasia, vyama vingine vyote vimeamua kutumia busara kutoteua wagombea kushiriki igizo jingine la uchaguzi wa Naibu Spika, kama walivyoshiriki igizo la uchaguzi wa Spika.
P
Majimbo karibu yote CCM ilipita bila kupingwa sasa wanategemea upinzani gani huko Bungeni?Huu ndio ukomavu wa democrasia, vyama vingine vyote vimeamua kutumia busara kutoteua wagombea kushiriki igizo jingine la uchaguzi wa Naibu Spika, kama walivyoshiriki igizo la uchaguzi wa Spika.
P