Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kuna bunge hapo sasa?Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo Chama kimoja (CCM) ndicho kimewasilisha jina la Mgombea nafasi ya Naibu Spika iliyo wazi baada ya Dkt. Tulia Ackson kujiuzulu na kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge
Jina la Mgombea litawasilishwa mbele wa Wapiga Kura kesho Februari 11, 2022 kwa ajili ya Uchaguzi
View attachment 2114972
Walipita au walipitishwa kwa nguvu?Majimbo karibu yote CCM ilipita bila kupingwa sasa wanategemea upinzani gani huko Bungeni?
Kwanza ni aibu babu mzima kuwa chini ya mwanamkeHivi Mh. Zungu sio mtu mzima anastahili kustaafu kwa sasa. Wangechagua kijana atakayekuwa na hiyo nafasi.
Nimeongea kwa lugha ya kidiplomasiaWalipita au walipitishwa kwa nguvu?
Kabisa ndiyo maana CHADEMA walisanda kitambo sn haya maigizoHuu ndio ukomavu wa democrasia, vyama vingine vyote vimeamua kutumia busara kutoteua wagombea kushiriki igizo jingine la uchaguzi wa Naibu Spika, kama walivyoshiriki igizo la uchaguzi wa Spika.
P
Sawa MheNimeongea kwa lugha ya kidiplomasia
Hawajisiki vibaya, madaraka yana tabia ya kulevyaNi baada ya muda wa kuwasilisha jina la mgombea unaibu Spika wa Bunge la JMT kuisha leo Alhamis saa 10 jioni bila kutokea mgombea toka chama kingine zaidi ya wa CCM, Mussa Zungu!
Nawaza;
Hivi CCM hawajiskii vibaya kukosa tofauti kati ya Bunge na Halmashauri Kuu ya Chama chao? Tazama maneno kwenye picha hii!View attachment 2115329
Chadema are growing up, hata kwenye urais wa 2020, akina sisi tulishauri Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?Kabisa ndiyo maana CHADEMA walisanda kitambo sn haya maigizo
Kulikuwa na uchaguzi 2020?Chadema are growing up, hata kwenye urais wa 2020, akina sisi tulishauri Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P
Walishindishwa na mwamba kwa nguvuWalipita au walipitishwa kwa nguvu?
2020 kulikuwa na uchafuzi Sio uchaguzi mkuuChadema are growing up, hata kwenye urais wa 2020, akina sisi tulishauri Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P
Swali mujarabu!-Vile vyama vya upinzani vilivyojitokeza katika uchaguzi wa speaker mbona hawakujitokeza tena?