The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
kuna kaukweli kabisa wadada wa salun ni ushindi kukamata mwanaume alie mwenye mahusiano maarufu na mbinu ni kutoa huduma za ziada na wanaume tunajidanganya kuhonga sana watunze siri aah wap apoteze ujiko wa kuwa na afisa wa Sumatratuseme ukweli..hakuna sehemu ovu km saluni...kuna kipindi nilienda asbh kusuka nikarudi jion...jaman stry zilizopo mle..yaan km mumeo ni kiw3mbe utajua..kila gari inayopita wanaijua...sijui nisemeje...nimekuja gundua waume zetu wanawasodoma sana wadada wa saluni..yaan habar za kufir.a.na ni kawaida mnooo saluni...!..yaan mtu haoni shida kusema Eh Sele kaniiambia ananipitia akanisodome..huyo sele mume wa mtu na heshima zake...!wanadai wadada wa salun hawana usumbufu km wanachuo..ptu