Bunge hatari kupata kutokea duniani, mjadala wa mahusiano yako ukisikia hapa umekwishaa

kuna kaukweli kabisa wadada wa salun ni ushindi kukamata mwanaume alie mwenye mahusiano maarufu na mbinu ni kutoa huduma za ziada na wanaume tunajidanganya kuhonga sana watunze siri aah wap apoteze ujiko wa kuwa na afisa wa Sumatra
 
Kheri upauke, unakopwa hela ya bikoba ikalipie pangolin. Utaambiwa rafiki yangu Hamisi mkewe mgonjwa, ameahidi kuzirudisha wiki ijayo.

Ukikutana na Hamisi kumuuliza unashindwa.


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...basi tu kwakweli
 
Balaa sana..imagin3 mdada ana rum 2..@50000/=.. alipiwe 6mths...laki 6 imekatika...mke ndan amepaukaaaa
Kuiba mali mliochuma na mke na kuipeleka nje ya ndoa ni kosa,,ni dhambi,,ni kukosa uadilifu ndani ya ndoa
hayo hufanywa na wanaume wadhaifu kimaadili,wadhaifu katika kufikiri na wadhaifu kiroho

"Success is not what you get,but how you become"

Ukomavu wa akili na kiroho unahitajika sana katika ustawi wa ndoa na familia kwa ujumla
umri sio ishu sana maana kuna wazee wengi tu wana akili za kitoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ndo tunarudi kule kule Mungu atusaidie tu kwakweli.kwa ngv za binadamu ni ngumu sana
 
Kuna siku alipita bwana mmoja kumbe ameshatembea na wadada wote pale salon, basi walianza mwenyewe anajiona amevaa nguo pale...... yaliyoendelea unampa pole mkewe πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…