Bunge Hili Batili Lizuiwe Kujadili Chochote Kinachohusu Rasilimali za Taifa

2020 ulipigiaa kura chamaa gani
 
Inaonekana hata masuala ya Mwungano hayajui kabisa.

Hivi hujui kuwa wizara ya Ulinzi, mambo ya ndani na mambo ya nje ni wizara za Mwungano.

Hizo wizara ni halali kabisa kwa mtu wa upa de wowote kuwa waziri au katibu mkuu. Kwa hiyo Mwinyi kuwa Rais wa Wuzara ya Ulinzi ilikuwa sahihi kabisa.
 
Hili jambo ni baya kwa Taifa letu.

Mungu ayalaani matumbo yao yasile walichotudhulumu.
 
Makamu wa raisi na waziri mkuu wapo upande gani kwenye hili sakata maana wapo kimya
 

Ila mbalawa kusaini mkataba wa bandari ni haram

Akisaini mkataba wa Reli ni halali

Akisaini mkataba wa Viwanja vya ndege ni halali
 
Sijui kwa hatua hii Nini kinaweza kufanyika. Kwani tumetanguliza njaa na matarajio ya haraka yasiyo tabirika vema.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…