Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

I wonder if it is really you or your account has been hacked!!! Because I use to respect your thoughts a lot but as days goes I fail to comprehend your thinking!!
 
Ni kweli Kambi Rasmi ya Upinzani ipo kisheria na CCM, Rais na NEC walijua hilo lakini wakatumia mbinu chafu kupata Wabunge wote wa Chama kimoja ambao ni uvunjaji wa hiyo Sheria. Pascal kuomba huruma ya Marais watumie nafasi walizopewa kisheria kuteua Wabunge 10 ni ujinga wa Paskal kwa sababu nafasi hizo zilitolewa ili kumsaidia Rais kupata watendaji mahili ambao lazima wawe Wabunge lakini wamekosekana kupatikana Bungeni ingawa fursa hiyo imetumika vibaya kwa kuteua hata girlfriends. Kwa upande mwingine kama Kambi Rasmi ya Upinzani iko kisheria, Sheria inasema kifanyike nini kama Akidi haitimii kuunda Kambi hiyo? Tatizo kubwa linalojulikana na wote ni kuwa Bunge la 11 lilikuwa ndo Bunge dhaifu kuwahi kutokea nchini mwetu likiongozwa na Spika dhaifu na Naibu wake dhaifu ambao wote wawili Chama chao chini ya uwenyekiti wa Rais kimewateua waongoze Bunge lijalo la CCM pekee. Meza za ndiyooo zitagongwa mpaka zichakae na makalio yatazungushwa sana!
 
Cuf, nccr,chauma wanatosha
 
Sio kila tatizo linatatuliwa kwa kufuata katiba, sheria, taratibu na kanuni, matatizo mengine yanatatuliwa kwa kutumia busara tuu, utu, huruma na Ubinaadamu.

P
Ndugai na Pombe wameshapata burudisho la moyo wao basi na waendelee hivyo hivyo na upuuzi waliouhitaji. Mimi msimamo wangu ni kuwa mwaka huu kulikuwa hakuna uchaguzi bali ni takataka zilikuwa zinasafishwa.
 
Mkuu bandiko lako linauma na kupu...aache wapinzani waendelee na maisha a yao....
 
Ni mapungufu makubwa kwa CCM katika mchakato mzima wa kuua upinzani-bila kuzingatia mahitaji ya aidha katiba ya nchi au matakwa ya bunge katika kutekeleza majukumu yake- is this a constitution crisis?
Kwanini iwe ni " huruma" kama wana CCM wanavyosgikilia bango na sio kuwa Katiba inadai iwe hivyo? Katiba inamapungufu? mpaka iwe huruma Jamani aibu gani hii ya kutukuzana?
Raisi kuwachagua hawa wapinzani is a joke, na hao wapinzani kujilazimisha kupata hivyo viti to circumvent the constituition is a joke.
Hayo juu ni kweli kama kweli tu kuwa ili bunge liweze kujiendesha kisheria lazima liwe na asilimia fulani za wabunge wa upinzani, amabo sasa hakuna?
Anyways what a joke kwa kamati ya Ushindi wa kishindo wa CCM.
 
So Hon. Lipumba is a Puppet? Mbatia a Compromiser? How come you recommend such people to join the Parliament.
 
Mada zijazo zijadili mchango wa wizi, uporaji wa ushindi na jinsi wanavyojisikia waliopora, na walioporwa, iwapo wanazungukwa na mashehe na wachungaji, huwa awaungami?
 
Una zungumza na kiziwi ambaye kwake ni The Winner takes all...hata kutokee nini ndio raha yake
 
Mmekula nyama ya mtu sasa damu inawatesa ... na mtateseka kwa miaka mi'5 ijayo

Kama ujuavyo mchawi huteseka kwa damu ya Marehemu kwetu kuna neno linaitwa KUYABHULA!!!

Sasa CCM mnayabhula kila kukicha ... subiri bunge lianze mtayabhula mpaka mtajichukia wenyewe!!!
 
Una zungumza na kiziwi ambaye kwake ni The Winner takes all...hata kutokee nini ndio raha yake
Mkuu bopwe , mfumo wa uchaguzi wetu, ushindi ni by the simple majority, hata zikipigwa kura 100, mmoja akapata kura 51, mwingine kura 49, mwenye 51 ndio mshindi, the winner and the winner takes it all, kwa kuzichukua na kura zote 49 za aliyeshindwa, kwa ule utaratibu wa mwenye nacho ataongezewa!, and loser standing small!.

Lakini kwa Zanzibar, japo nako ushindi ni hivyo hivyo by the simple majority, lakini the winner doesn't take it all, anapaswa kummegea kidogo aliyeshindwa.

Kwa huku bara kinachohitajika ni huruma tuu.
P.
 
Waafrika unafiki ndio tatizo la kwanza. Hadi hivi sasa, kuna mamia ya wapinzani wako ndani kwa kesi za ajabu ajabu, kama ni healing, kwanini tusianze huko kwanza?

Haiwezekani wapinzani mkawaona wa maana only when it's convenient for your agenda. Walichokitaka wamekipata, bunge lote ni kijani. Wakajenge nchi sasa.

CHADEMA wakikubali kushirikiana na hii serikali kwa lolote wakati kuna uvunjifu wa haki bado unaendelea, watakufa kabisa kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…