Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

Wewe Mayalla utakuwa mshenzi tu kama jiwe kwa kumpongeza jiwe eti ameshinda kwa kishindo hata aibu huna?!
 
Viti maalum wapo wengi,kuna viti maalum wa tume kama Kassim Majaliwa!

Ninashauri hata hao walioshinda wajiunge na CCM ili iwe 100% CCM!
Kabisa! Nakubaliana na wewe. Hao wabunge waunge juhudi, wateuliwe wao wagombee Tena hapo hapo Kama walivyofanya kwa waungajuhudi wengine ili nao wawe wabunge wa CCM
Hii itaturahisishia Sana Mwaka 2025 kunyoosheana vidole.
 
We Mayala nilitegemea upiganie tuwe na demokrasia ya kweli na huru kama Taifa ila cha ajabu unaleta hoja ' eti kuwe na wapinzani wachache bungeni ili kuleta changamoto ama rais awateue kwa huruma ... Tujiulize,, kwani Tanzania tunafuata mfumo upi wa siasa?? Vyama vingi ama chama kimoja.?? Amka braza au labda unapigania teuzi.
 
Mkuu wakati wa uchaguzi mkuu ulikuwa kitandani in coma? Kwa maana kwamba hujui kilichotokea?
 
Pascal, nadhani unachojaribu kufanya ni kuaminisha watu kwamba unatoa maoni yako au mawazo yako huru, lakini katika uandishi wako umetumia maneno yanayoonsha unatumiwa kuwasilisha mbinu mpya ya ukiukaji wa sheria na kanuni za tume ya uchaguzi kama ambavyo mmezivuruga Kwan tamaa ya kujipatia ushindi mkubwa bila kujua kwamba mnatengeneza tatizo ama mlijua lakini mkaamua hivyo huku mkijua mtakuja na ushauri wa hovyo km huu. Umeanza na neno nina ukimaanisha Wewe binafsi, lakini baadaye unaaandika tunaomba, kuonyesha mko wengi na huu ni mkakati wenu. Rais akimteua mpinzani huyo ni mbunge wa Rais hivyo hana tofauti na wale walisimamishwa name ccm. Lakini kwa upande wa kanuni za tume ziko wazi ili kuwapata hao wabunge unaowataja. Kilichofanywa name ccm ni sawa na mtu mroho anakula kwa uroho vyakula vyote bila kukumbuka madhara ya ulaji huo. Ila naamini ccm, bunge na serikali watabaka sheria, kanuni na miongozo inayisimamia uteuzi wa wabunge hao ili kutimiza matakwa yenu. Mwisho naomba nikuulize Rais anaposema ataufuta upinzani alafu anataka wapinzani wapeleke wabunge, huyu unamchukuliaje?
 
Hata hayo majimbo mawili yaliyochukuliwa na upinzani ni kwamba CCM wenyewe hawakuwa wanayahitaji.

Hawa Ghasia ndiye alikuwa kinara wa lile suala zima la korosha mpaka mkuu akasema atawapiga shangazi zao, hakuna kiongozi mkuu aliyekwnda Mtwara vijijini kuongeza nguvu wakati wa kampeni.

Kula Nkasi kwa Kessy, jimbo limekwenda upinzani kirahisi tu. Yule mzee alikuwa team Lowassa ingawa baadae akajitahidi kujikosha kana kwamba yupo pamoja na mkuu.

Upinzani upo ndani ya mtu sio rahisi kuweza kuufuta au kuua, Kuna siku wataibuka watu makini na utaibuka kwa kishindo.
 
Akili yako ni inferior., Ivi akili yako bado inakutuma uliofanyika ni uchaguzi? ni vyema ungefuta neno uchaguzi na ukataja neno mapinduzi,, maeneo mangapi wagombea kwa mfano kwenye vituo labda walipata kura 29 nakadhalika lakini kwenye matangazo ya majimbo walitangaza wamepata kura 2 au hawakupata kitu.

Jibu lake ni kwamba matokeo yote yaliyotajwa bara na zanzibar was already on pepar before election kwa lugha ambayo haina utata ni kwamba yamepikwa., sasa ukija kuchambua hayo unayosema lazima kwanza uzingatie hili ndilo lilofanyika.

Hakuna mbunge wa upinzani aliyeshinda wala alishindwa everything was planned.,
 

nashangaaa ccm walitaka kuufuta upinzani lakini kutwa wanawaongelea

ijulikane kuwa bila ya upinzani unaowaungansha ccm pamoja kutakua na hilo la CCM kugawanyika na kugombana wenyewe

alisema anawanyima wapinzani maendeleo asiseme resource ni ndogo ... sasa amechukua kote awape basi wote
lakini akili ya kawaida ni resource pengine zinatosha kupeleka maendeleo majimbo 50 kila mwaka ina maaana sasa atakua na mtihani zaidi n atakua hana sababu tena kumbe ataanza pia kuwapa maendeleo watu wa chama chake kwa kuwaangalia usoni kama Hawa Ghasia
 
Kwa ushauri wangu, napendekeza rais Magufuli awateue hawa wafuatao
1. Tundu Lissu- aligombea nae
2. Zitto Kabwe - Most Interactive MP
3. James Mbatia- Very Compromising
4. Prof Haruna Lipumba - Good Puppeteer
5. JJ.MNYIKA- Mjengaji hoja mzuri
Mkuu, Pascal mimi sio mdau sana wa jukwaa hili la siasa. Mara nyingi nipo jukwaa la INTELLIGENCE na HOJA MCHANGANYIKO lakini leo ninaomba niku-challenge kidogo katika huu ushauri yako kwa Mh. Rais.

Mkuu, katika kumshauri Rais Magufuli, hauoni kwamba unapaswa kutoa kipaumbele zaidi kwa vijana/damu changa wanaochipukia katika medani ya siasa za hapa nchini badala ya kutaka kuendeleza kizazi kilekile cha hawa ambao mimi ninapenda kuwaita "Political Veterans"?

Mkuu P, don't you believe in the power of the young?

I'm just asking, nothing personal.
 
Mkuu Infantry Soldier , kwanza asante kwa objectivity kwenye mchango wako, ndani ya Bunge kama lilivyo baraza la mawaziri, kuna wizara ni key ministries na kuna wizara ni za kawaida, kwenye key ministries kunahitajika watu experienced wenye uzoefu wa experience ya muda mrefu.

Vivyo hivyo Bunge, kuna wabunge wa kawaida na wabunge wenye experience, kuna kamati za Bunge za kawaida zinazoweza kuongozwa na Mbunge yoyote na kuna Kamati za Bunge ni key, zinahitaji sio tuu kuongozwa na wabunge experienced bali wenye vichwa fulani, Kamati ya Hesabu za Serikali, PAC na Hesabu za Serikali za Mitaa, LAAC, ni oversight committee, lazima ziongozwe na wabunge wa upinzani.

Hivyo hao niliowapendekeza, pia nimeweka reasons behind pendekezo langu, mmoja Zitto Kabwe ni kuongoza PAC na JJ.MNYIKA kuongoza LAAC.

I do believe in power of youth ila ni katika baadhi ya maeneo, I believe in strength of a woman ila ni katika baadhi ya maeneo, lakini kwenye maeneo muhimu, sipendi tujaribu, better be sure than sorry, hivyo weka the people you can trust with a proven track records kama the experienced ones.
P
 
Mkuu Kiguturi Nyamili , bahati mbaya sana, mimi sikuwahi kumsikia rais Magufuli akisema ataufuta upinzani, hata lile jarida la mabeberu, the Economist lilipoandika, mimi nilipinga

Ukishare alisema lini na wapi, nitakushukuru.
P
 
Sawa mkuu, nimekuelewa vizuri sana. Asante.
 
Paskal.ulishawahi kuuguwa kichaa? Mwwnyewe hataki magunzi sasa wewe ni nani umvike leo huruma mtu asiye na huruma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…