hilo la makao makuu natamani itungwe sheria kwamba hakuna kurudi tena dar......Bunge la Tanzania leo linaendelea na shunguli zake ikiwa ni Mkutano wa 19, Kikao cha 40 kinaendelea leo na baadhi ya shunguli ni kupitisha maazimio mawili
Azimio la kwanza ni Kuitaka Serikali kutobadili Uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi na Shughuli za Serikali
Azimio la pili ni Kumpongeza Sipka wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kwa mafanikio ya Bunge la 11
Azimio la kwanza la kuitaka Serikali kutobadili uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu linakuja wakati ambao tayari shughuli nyingi za Serikali zimehamia Dodoma. Rais na Wizara zote yatari zimehamia Jijini Dodoma
Naunga mkono HOJAhilo la makao makuu natamani itungwe sheria kwamba hakuna kurudi tena dar......
katika mambo yote aliyofanya magufuli hili la kuhamishia shughuli za serikali dodoma kwa kweli kwangu ni bora kuliko hata madaraja na reli anazojenga!
Hasa upande wa Mafisadi na majiziAwamu ya tano inafanya vyema
hilo la makao makuu natamani itungwe sheria kwamba hakuna kurudi tena dar......
katika mambo yote aliyofanya magufuli hili la kuhamishia shughuli za serikali dodoma kwa kweli kwangu ni bora kuliko hata madaraja na reli anazojenga!